Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. Shein atembelea Chuo cha mafunzo ya kazi za mikono wanawake India

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia vifaa mbali mbali katika chuo cha mafunzo ya Amali  kichofundisha wanawake pekee kutoka nchi mbali mbali Duniani ikiwemo Zanzibar,katika cha  Tilonia,Wilaya ya  Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa  katika siku ya pili ya ziara yake Nchni India pamoja na Ujumbe aliofuatana nao  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali kiitwacho Tilonia, Wilaya ya  Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa  katika siku ya pili ya ziara yake nchni India pamoja na ujumbe aliofuatana nao.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani Othman Maalim (kulia) kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chuo cha takwimu cha India kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mafunzo ya watalamu wa Chuo ch EASTC

EASTC 7

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015.(PICHA NA VERONICA KAZIMOTO).

Na Veronica Kazimoto, MAELEZO

Chuo cha Takwimu Mashariki...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA KUTILIANA SAINI YA MKATABA WA MAKUBALIANO YA MAFUNZO YA WATALAAM WA TAKWIMU NA CHUO CHA TAKWIMU CHA INDIA

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015. Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal akiangalia vitabu mbalimbali vilivyopo...

 

11 years ago

GPL

JK ATEMBELEA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA UDOM, AFUNGA KIKAO KAZI CHA VIONGOZI DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara ya ghafla kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo  cha Sayansi ya  Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha chuo hicho mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014. Alikuta ujenzi umeshakamilika na kilichobaki ni...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA MAHINDRA&MAHINDRA LTD MUMBAI, INDIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea shada la maua na kusalimiana na Mkurugenzi Mkuu na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kimataifa ya Mahindra& MahindraLtd,Bw.Ruzbeh Irani,wakati alipowasili katika Makamo Makuu ya Kiwanda kinachotengeneza Matrekta cha Mahindra & Mahindra Ltd Mumbai Nchni India   Baadhi ya watendaji katika kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd wakiwa katika mkutano uliowajumuisha watendaji wa kampuni hiyo na Ujumbe wa Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

BASATA NA KITUO CHA UTAMADUNI CHA UJERUMAN (GOETH INSTITUT) WAENDESHA MAFUNZO KWA WASANII WA SANAA ZA MIKONO

    Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA Godfrey Mngereza (Kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa batiki yaliyoanza mapema wiki hii kwenye Ofisi za Baraza hilo zilizoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujereum Bi. Eleonore Sylla na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni  Bi. Leah Ruhimbi      Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujereum Bi. Eleonore Sylla...

 

11 years ago

Michuzi

Chuo cha Bahari-DMI cha saini makubaliano ya mafunzo ya ubaharia na UNRA(U)

Chuo cha Bahari (DMI) kimetia saini makubaliano ya mafunzo ya ubaharia na Mamlaka ya Barabara ya nchini Uganda (Uganda National Road Authority) Makubaliano hayo yalitiwa saini alhamisi 12.06.2014 jijini Kampala katika ofisi za UNRA zilizopo Lourdel rd plot 5 Nakasero.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bahari,Ing. Yassin M. Songoro , Mkuu wa Idara ya fedha,Bw. Mussa Kondo na Mkuu wa kozi fupi,Bw. Hilal Salum waliiwakilisha DMI na kwa upande wa UNRA Mkurugenzi Mtendaji,Bw. Ssebbugga Kimeze,Ing....

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KIWANDA CHA VIUNGO vya chakula cha EVEREST SPICE Industries Ltd,India

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiangalia karafuu   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiangalia bidhaa iliyokwisha kuwa tayari kwa matumizi  ikiwa katika matayarisho yaliyo bora katika kiwanda cha cha  Viungo   cha  (Everest Spice Industries Ltd) Mumbai  India akiwa katika ziara ya Kiserikali,(katikati) Balozi wa Tanznaia Nchini India John W.H.Kijazi.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani