Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na sheria

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini  Zanzibar jana jioni.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UONGOZI WAZARA YA AFYA WAKUTANA NA RAIS DK.ALI MOHAMED SHEIN LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Afya kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jionNaibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (kulia) akiwa pamoja na watendaji mbali mbali wakimsikiliza Waziri Rashid Seif Suleiman (hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na watendaji wizara ya Katiba na Sheria

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria katika mpango wa utekelezaji wa malengo kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba 2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Katiba na Sheria na Idara zake wakimsikiliza Waziri Abubakar Khamis Bakary(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AFUNGUA JENGO JPYA LA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

1Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Jengo jipya la Wizara Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Oktoba 6, 2015.
2Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kulifungua Jengo jipya la Wizara ya Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Oktoba 6, 2015 ,(kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria...

 

10 years ago

IPPmedia

Zanzibar President, Dr Ali Mohamed Shein


Zanzibar President, Dr Ali Mohamed Shein
IPPmedia
Eight former African presidents are expected to take part in a four-day regional conference on global peace leadership scheduled for Zanzibar later this month. The conference is expected to chart strategies aimed at reducing conflict, build social ...

 

9 years ago

Coastweek

Zanzibar President Ali Mohamed Shein is seeking second term


Zanzibar President Ali Mohamed Shein is seeking second term
Coastweek
DAR ES SALAM Tanzania (Xinhua) -- Zanzibar President Ali Mohamed Shein has collected presidential nomination forms on the ticket of the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM), seeking a second five-year term. Speaking shortly after he had collected ...
Confident Shein picks forms for top Isles postDaily News

all 4

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN- UJERUMANI


1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Maritim Hotel Bw.Wissmann katika Mji wa  Wurzburg Nchini Ujerumani jana alipowasili katika Mji huo akiwa katika ziara ya Kiserikali ambapo atahudhuria ufunguzi wa maonesho ya Muziki yanayojumuisha wasanii kutoka nchi za Afrika na Mabara mengine (kulia) Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo, [Picha na Ramadhan Othman.]2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein Afutarisha Mkanyageni, Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba Bw. Hemed Suleiman wakati alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini  Pemba Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba Bi Hanuna Ibrahim Masoud wakati alipowasili katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani