Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK.SHEIN AKUTANA BALOZI WA URUSI NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na mgeni wake  Balozi wa mpya wa Urusi Mhe,Yuri F.Popov katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania baada ya kujitambulisha leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana  na mgeni wake  Balozi wa mpya wa Urusi Mhe,Yuri F.Popov katika Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania baada ya mazungumzo yao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI URUSI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi balozi Wynjones Kisamba, Ofisini kwake Migombani. (Picha na Salmin Said, OMKR).
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi balozi Wynjones Kisamba, Ofisini kwake Migombani.

 

10 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AAGANA NA BALOZI WA URUSI ALIYEMALIZA MUDA WA KUFANYA KAZI NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh aliyefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi NchiniRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongea na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe Alexander A.Ranikh aliyefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

Vijimambo

DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI

x1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ikulu.x3Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein akutana na Balozi wa Uholanzi nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Uholanzi nchini Tanzania Mhe,Jaap Fredriks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Uholanzi nchini Tanzania Mhe,Jaap Fredriks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana...

 

10 years ago

GPL

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing alipofika Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu… ...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt shein akutana na balozi wa ufaransa nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo / Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana   na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

 

10 years ago

Michuzi

Balozi wa COMORO NCHINI akutana na Rais Dk.Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo .Picha na Ikulu.

 

11 years ago

GPL

BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI LT.GEN WYNJONES MATHEW KISAMBA AMUAGA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi  wa Tanzania Nchini Urusi  Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani