Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi kutoka China (ZHEJING UNIVESITY  OF MEDIA&COMMUNICATIONS) Rrof.Dk.Peng Shaojian wakati alipofika Ikulu mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe kutoka nchini China katika Chuo cha (ZHEJING UNIVESITY  OF MEDIA&COMMUNICATIONS) chini ya kiongozi wake Mwenyekiti wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dk.Shein akutana na Ujumbe Kutoka CUBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti katika Wizara ya Afya ya Jamii Cuba Dr.Marieta Cutino Redriguez akiongoza Ujumbe wa Viongozi wa Afya Kutoka Cuba walipokutana na Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Afya kutoka Cuba unaoongozwa Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti katika Wizara ya Afya...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA Ujumbe wa Bodi ya TRA, IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya TRA Benard S.Mchonvu wakati alipoongoza ujumbe wa Bodi hiyo leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Bodi TRA ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi ukiongoza na Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu (wa tatu kushoto). Rais wa Zanzibar na...

 

10 years ago

GPL

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing alipofika Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na ujumbe kutoka Tume ya Haki za Binadamu

PG4A1772

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe kutoka Tume ya haki za Binadamu, ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 8, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Bahame Tom Nyanduga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA TBEA YA CHINA, IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Ofisini kwake, Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhong Yanmin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015 kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhong Yanmin, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015 kwa ajili ya mazungumzoMakamu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Dk.Shein akutana na Balozi wa China nchini Tanzania leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (kulia) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA TUME YA HAKI ZA BINADAMU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe kutoka Tume ya haki za Binadamu, ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 8, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Bahame Tom Nyanduga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani