DKT. BILAL AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN NA UJUMBE WAKE IKULU DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-feo8bvTrmoQ/UuzRfBNgiWI/AAAAAAAFKGw/qGH7RTShNos/s72-c/unnamed+(63).jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya (kulia kwake) aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 01, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-EY5GYyFvkkw/Uu0kF-BdX8I/AAAAAAAFKHQ/XmTaB4qzPjs/s72-c/unnamed+(64).jpg)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akutana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya Nje wa Japan
![](http://3.bp.blogspot.com/-EY5GYyFvkkw/Uu0kF-BdX8I/AAAAAAAFKHQ/XmTaB4qzPjs/s1600/unnamed+(64).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Nj9zPiy7qNs/Uu0kGBhTHxI/AAAAAAAFKHU/T1gx9tEuhQ8/s1600/unnamed+(65).jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa UBA Tanzania Generali Robert Mboma na ujumbe wake, Ikulu Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 22, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba...
11 years ago
MichuziRAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA YA NJE WA UJERUMANI DKT FRANK-WALTER STEIMEIER IKULU LEO
11 years ago
Dewji Blog30 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Uturuki
Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki, Ahmet Dovutoglu, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo, Mei 30, 2014. Katika mazungumzo yao walisisitiza juu ya ushirikiano katika Nyanja mbalimbali baina nchi hizi mbili . Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya Kiserikali iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...