Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Kissui afungua kongamano la ulingo wa maendeleo ya biashara na uchumi Karakana ya wajasiriamali-Wazo Hill Tegeta leo

IMG_0107

Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Utamaduni, Michezo, Habari na Vijana Dkt. Kissui S. Kissui akifungua rasmi kongamano la ulingo wa maendeleo ya biashara na uchumi Karakana ya wajasiliamali uliofanyika Wazo Hill Tegeta, Katika Hotuba yake aliwapongeza PSPF kwa kujitoa kuwasaidia wajasiliamali kuwekeza kupitia Fao lao la Ujasiliamali na Kujiunga katika mfuko wa uchangiaji wa Hiari wa PSS, Pia aliwapongeza Haiba Foundation kwa kuwasaidia wajasiriamali wadogo wadogo na mwisho alitoa somo maalum...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKURUGENZI MSAIDIZI WIZARA YA HABARI DKT. KISSUI S. KISSUI AFUNGUA KONGAMANO LA ULINGO WA MAENDELEO YA BIASHARA NA UCHUMI KARAKANA YA WAJASILIAMALI-WAZO HILL TEGETA LEO.

Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Utamaduni, Michezo, Habari na Vijana Dkt. Kissui S. Kissui akifungua Rasmi Kongamano la Ulingo wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi Karakana ya wajasiliamali uliofanyika Wazo Hill Tegeta, Katika Hotuba yake aliwapongeza PSPF kwa kujitoa kuwasaidia wajasiliamali kuwekeza kupitia Fao lao la Ujasiliamali na Kujiunga katika mfuko wa uchangiaji wa Hiari wa PSS, Pia aliwapongeza Haiba Foundation kwa kuwasaidia wajasiliamali wadogo wadogo na Mwisho alitoa somo maalum kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa la kuchochea mwamko wa nafasi ya mabingwa wa uchunguzi tiba katika kuboresha huduma za tiba. Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, limewakutanisha mabingwa wa tiba za afya kutoka nchi mbalimbali za Afrika na nje ya Afrika.
baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WANASAYANSI VIJANA JIJINI DAR LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wakati akifungua Kongamano la siku tatu la Kimataifa la Wanasayansi Vijana, linalojadili masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini, linaloendelea kwenye Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, ambapo Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Kongamano hilo la tatu la Kimataifa la Mtandao wa Wanasayansi Vijana Duniani (YES). Aidha Kongamano hilo...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA WAWEKEZAJI LA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA LEO SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Uwekezaji la Ukanda wa ziwa Tanganyika linalojumuisha Mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma. kongamano hilo linafanyika leo 01 Nov 2014  katika Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, Mkoani Rukwa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi na tano kwa wajasiriamali wadogo wadogo wa Sumbawanga...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA,JIJINI MWANZA LEO

 Mgeni Rasmi katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.  Mwenyekiti wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.  Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBC,ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Reginald Mengi kumzawadia milioni 10 mshindi wa wazo la biashara la 3N

mengi2

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi.

Na Andrew Chale wa modewjiblog

Mshindi wa Januari 2015 wa shindano la wazo la biashara 3N anatarajiwa kutangazwa  siku ya Alhamisi ya Februari 12 kuanzia  saa tano asubuhi jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa Dk. Reginald Mengi kupitia kurasa wake wa twitter, alitangazia umma kuwa  Shindano hilo jipya lijulikanalo kwa kifupi -3N, ikiwa ni kifupisho cha ‘Nitabuni wazo la biashara, Nitatekeleza, na Nitafanikiwa’,  ambapo mshindi wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA, MJINI KIGOMA LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia moja ya jiwe lenye Madini huku akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Aifola Investiment Co. Ltd, Zubery Mabie, kuhusu upatikanaji wa madini na utengenezaji wa Unga wa 'Lime Powder', wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho kwenye ufunguzi wa Kongamano la Uwekezaji wa Ziwa Tanganyika, lililofanyika leo Sept 9, 2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini Kigoma.  Sehemu ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA PILI LA WANASAYANSI NA MABINGWA WA TIBA JIJINI DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya MUHAS Prof Mohamed Bakari, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach kwa ajili ya ufungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, jijini Dar es Salaam leo, Mei 14, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani