Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DMV ALL STARS- NAJIVUNIA

Disemba 9, 2014 ni siku ya uhuru wa Tanganyika. Wakati taifa la Tanzania linaadhiminisha miaka 53 ya uhuru, tunapenda kuwasilisha rasmi wimbo “Najivunia”. Wimbo “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishia Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania.
Wasanii wenyewe ni:

DMV All Stars:

Mr.Tz aka SanTized
Prince Herry
Dominic
E-Breezy (Ibra. Max)
AJ Ubao

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DMV All Stars - Najivunia

Disemba 9, 2014 ni siku ya uhuru wa Tanganyika. Wakati taifa la Tanzania linaadhiminisha miaka 53 ya uhuru, tunapenda kuwasilisha rasmi wimbo “Najivunia”. Wimbo “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishia Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania.Wasanii wenyewe ni:
DMV All Stars:
Mr.Tz aka SanTizedPrince HerryDominicE-Breezy (Ibra. Max)AJ Ubao

 

9 years ago

Bongo5

Video: DMV All Stars — Najivunia

Video mpya ya Wimbo unaitwa “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishio Marekani wanajiita DMV All Stars kwa ushirikiano na DMK Global Promotions Video directed by Hefemi. Wasanii wenyewe walio shiriki ni Mr.Tz aka SanTz,Prince Herry,Domi,E-Breezy (Ibra. Max),AJ Ubao Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]

 

10 years ago

GPL

DMV ALL STARS - NAJIVUNIA‏

Disemba 9, 2014 ni siku ya uhuru wa Tanganyika. Wakati taifa la Tanzania linaadhiminisha miaka 53 ya uhuru, tunapenda kuwasilisha rasmi wimbo “Najivunia”. Wimbo “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishia Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wa Tanzania. Wasanii wenyewe ni: DMV All Stars: Mr.Tz aka SanTized Prince...

 

9 years ago

Vijimambo

VIDEO YA DMV ALL STARS - Najivunia

DMV ALL STARS - Najivunia ( mix for stage ) from hefemistudios on Vimeo.

 

10 years ago

Michuzi

DMV ALL STARS (USA) KUACHIA WIMBO MPYA WA ” NAJIVUNIA”

Wimbo “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishio Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions. To be released on March 15thWasanii wenyewe ni:DMV All Stars:Mr.Tz aka SanTz Prince HerryDomiE-Breezy (Ibra. Max)AJ Ubao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani