DStv wazindua king'amuzi kipya cha Exprola jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-vxSmXxGk9UQ/U2ldMyuZWFI/AAAAAAAFf-U/2Qpd6TKMEtU/s72-c/MMGS4623.jpg)
Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari (wahapo pichani) waliofika kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa King'amuzi kipya na cha kisasa cha DStv kifahamikacho kama DStv Exprola.Uzinduzi huo umefanyika kwenye Hoteli ya Southen Sun jijini Dar es Salaam Mei 06,2014.
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi akifafanua jambo juu ya matumizi ya king'amuzi hicho.
Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya...
Michuzi