Dunia yatazama Wakimbizi Nyarugusu, wa Mtabila warejea tena
Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu iliyopo wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, Sospeter Christopher Boyo (aliyesimama mwenye shati la kitenge) akisoma taarifa fupi ya Kambi ya Nyarugusu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (aliyeketi mwenye suti ya kijivu) aliyeambatana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez mara baada ya kuwasili kwenye kambi hiyo kujionea hali halisi ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLDUNIA YATAZAMA WAKIMBIZI NYARUGUSU, WA MTABILA WAREJEA TENA
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU ILIYOKO WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA NA KUWATAKA WAKIMBIZI HAO WADUMISHE AMANI NA UTULIVU
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Waziri Chikawe awaonya Wakimbizi Nyarugusu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amewataka wakimbizi wa Kambi ya Nyarugusu kuacha tabia ya kuwaozesha watoto wenye umri mdogo kwa kuwa ni kuwiangiza katika matatizo wakati...
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Idadi ya wakimbizi Kambi ya Nyarugusu yaongezeka
10 years ago
VijimamboNyarugusu shule zafungwa kuhifadhi wakimbizi wa Burundi.
10 years ago
MichuziZOEZI LA UHAKIKI WAKIMBIZI KAMBI YA NYARUGUSU LAFIKIA UKIKONGONI
9 years ago
MichuziIDADI YA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI YAONGEZEKA KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU