Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ewe mgombea, Wekeza katika kumwendeleza mtoto akiwa mdogo


Ewe mgombea, Wekeza katika kumwendeleza mtoto akiwa mdogo
Mipango kwa ajili ya watoto wadogo ipo mstari wa mbele katika vita dhidi ya umasikini. Watoto katika jamii zilizo masikini sana wamo katika hatari kubwa za kupata maradhi na utapiamlo na hawafanyi vizuri shuleni. Mipango jumuishi ya watoto wadogo inayolenga watoto walio masikini sana huzisaidia familia kuwa na mwanzo mzuri wa watoto wao na husaidia kupunguza pengo kati ya masikini na matajiri. Uwekezaji kwa watoto wadogo una faida...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Ewe Mgombea, wekeza katika kuwalinda watoto wachanga na wasichana dhidi ya VVU

New-Picture-6

Moja ya mikutano ya watoto wakiwa wanatoa mada juu ya haki na usawa kwa watoto kwa kuwataka wanasiasa na wagombea wa uchaguzi mkuu kuzingatia na kutekeleza mipango ya watoto. (Picha ya Maktaba yetu).

Maendeleo makubwa yamepatikana katika kupunguza kuenea kwa VVU. Hata hivyo, ambukizo moja katika kila maambukizo kumi mapya huwapata watoto wanaozaliwa japokuwa asilimia 90 ya maambikizi haya yangeweza kuzuilika. Wasichana pia wamo hatarini zaidi kuambukizwa VVU kuliko wavulana. Kila ambukizo...

 

11 years ago

CloudsFM

YULE MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MOROGORO HUYU HAPA AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Morogoro, Dk Godfrey Mtei alisema Nasra alipelekwa Muhimbili juzi usiku baada ya hali yake kutoridhisha.
Alisema afya ya Nasra ilibadilika ghafla juzi asubuhi na kushindwa kupumua vizuri, jambo lililowalazimu madaktari kumpeleka Muhimbili kwa gari maalumu la wagonjwa...

 

10 years ago

Michuzi

IPTL/PAP ya wekeza katika mapambano dhidi ya Malaria

Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (T) Limited imetoa msaada wa vyandarua 700 vyenye viwatilifu kwa vituo vya afya vilivyopo kwenye kata za Wazo, Kunduchi na Kawe kwenye wilaya ya Kinondoni katika kuadhimisha ya siku ya Malaria duniani. Akizungumza kwa niaba ya Uongozi wa IPTL na PAP, Katibu na mshauri mkuu wa sheria wa kampuni hizo, Bw. Joseph Makandege alisema: “IPTL inakubaliana kabisa na...

 

11 years ago

GPL

BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA, ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI MDOGO WA MALAYSIA.

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akitia saini katika kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia, kufuatia kutunguliwa kwa ndege ya shirika la Malaysia MH17 na abiria wote 298 kupoteza maisha. Mhe. Mjenga na mwenyeji wake, Mhe. Dato Ahmad Fadil Shamsuddin, Balozi Mdogo wa Malaysia wakiwa kwenye mazungumzo pamoja na Balozi Mdogo wa Afrika Kusini, Mhe. Manabile Shogole… ...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!

Aunt Ezekiel. BAADA ya wiki iliyopita kumaliza mahojiano na Miss Tanzania 2006 aliye pia mwigizaji wa sinema za Bongo, Wema Isaac Sepetu, wiki hii tunaye supastaa mwingine. Anaitwa Aunt Ezekiel Grayson, si jina geni kwa wadau mbalimbali wa burudani nchini. Ni mrembo ambaye amepata jina kubwa kupitia sanaa yake ya uigizaji wa filamu aliyoianza miaka saba iliyopita.
Msanii huyo ambaye ni mtoto wa damu wa aliyekuwa mchezaji...

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Mwenza CCM akiwa Tanga


Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alifanya mkutano wa kampeni leo. 
Mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wanaCCM na wananchi waliojitokeza...

 

11 years ago

Michuzi

CUF KUTOWEKA MGOMBEA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA


Mbio za kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga unabaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kuthibitisha kutosimamisha mgombea. Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Umma wa CUF, Abdul Kambaya, amesema chama chake hakina mpango wa kusimamisha mgombea katika jimbo hilo na kwamba hivi sasa wanaandaa mikutano ya kuimarisha chama chao.“Mpaka sasa CUF haina mpango wa kusimamisha mgombea ubunge Kalenga… kwa sasa...

 

10 years ago

Vijimambo

BIG BOSS LADY ZARI AWEKA PICHA AKIWA NA MAMA YAKE PAMOJA NA MDOGO WAKE

Mdogo wake Zari nae ni Ng'ari Ng'ari hile full package kiroho safi.Mama wa Zari na Mdogo wake mama anaonekana kama kidogo afya siyo yenyewe labda utu uzima.Zari na kitu cha black mwilini hapa kabla ya vimarekani vya mimba kuchumoza.She is my Queen, my old sun aka Mama Zarinah Hassan Nasur!!!!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani