Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ex wa Ludacris aponda ndoa yake na Eudoxie, asema ni ujanja wa kutaka kumchukua mtoto waliyezaa

Wakati Ludacris na mke wake Eudoxie, raia wa Gabon wanaendelea kufurahia fungate lao, mwanamke aliyezaa na rapper huyo, Tamika Fuller amedai kuwa mzazi mwenzie huyo amefunga ndoa ili kujiwekea mazingira ya kumchukua mtoto wao. Luda na Tamika wana mtoto wa kike mwenye mwaka mmoja aitwaye, Cai. Tamika anahofia kuwa nyumba yenye furaha ya Ludacris itampa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LUDACRIS AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE RAIA WA GABON

Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon. Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.…

 

10 years ago

Vijimambo

LUDACRIS AFUNGA NDOA NA FAB MPENZI WAKE RAIA WA GABON

Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon.
Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.
Ludacris na Eudoxie Fabiola wakiwa katika picha ya pamoja.
Mke wa Ludacris raia wa Gabon akiwa katika pozi siku yake ya harusi.
MWANAMUZIKI na mwigizaji Ludacris (37) sasa ni mume wa mtu, alifunga ndoa kwa siri katika msimu wa Sikukuu za Krismasi mwaka jana. Jumanne ya wiki hii wanandoa hao wameshare...

 

11 years ago

Habarileo

Atupa mtoto wa siku moja kulinda ndoa yake

MTOTO wa kike mwenye umri wa siku moja amenusurika kufa baada ya kuokolewa na wasamaria kutoka katika shimo alimotupwa na mama yake mzazi.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Young Dee — Ujanja Ujanja

Video mpya ya rapper Young Dee wimbo unaitwa ” Ujanja Ujanja” video imeongozwa na Khalfani Khalmandro Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Young Dee — Ujanja Ujanja

Rapper Young Dee baada ya kuacha video ya wimbo mpya wa “Ujanja Ujanja” hii ni Audio Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu, Asema Atamlea Mtoto Wake na Kuvaa Mavazi Yake!

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’  amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali  juu ya mavazi yake...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Ludacris afunga ndoa na mpenzi wake raia wa Gabon siku hiyo hiyo aliyomchumbia

Ludacris sasa ni mume wa mtu. Rapper huyo na muigizaji mwenye miaka 37, Jumanne ya wiki hii ameshare picha za harusi yake na mpenzi wake wa muda mrefu Eudoxie Mbouguiengue ambaye ni raia wa Gabon. Katika picha hiyo Christopher Brian Bridges a.k.a Ludacris aliandika “Why wait? Did the thing before 2015. #mrandmrsrbridges”. Mke wake naye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani