EXTRA BONGO KUPAMBA REDD'S MISS PWANI

BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo inayoongozwa na mwanamuziki mkongwe nchini Camarade Ally Choki ndiyo itakayopamba shindano la Redd’s Miss Pwani lililopangwa kufanyika juni 27 2014 katika ukumbi wa Maisha Plus (Police Mess).
Mbali ya Choki ambaye atakuwa na kikosi chake kikali cha wacheza shoo kinachoongozwa na Mussa Hassan Nyamwela pamoja na wanenguaji wa kike kama Maria Soloma , Asha Said ‘Sharapova’ , Otilia na wengineo watanogesha na kuacha historia siku hiyo .
Hayo...
Michuzi