Faiza Ally asema huenda ana ujauzito wa mpenzi wake Mmarekani
Mzazi mwenzake na mbunge wa Mbeya mjini, Sugu – Faiza Ally, amedai kuwa huenda akawa ni mjamzito. Akizungumza kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Faiza alisema kutokana na hilo hadhani kama ataweza kurudiana na Sugu tena. “Sasa hivi nipo na mpenzi wangu na pengine naweza kuwa na mimba, not sure kwa sababu sijapima,” […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XswnwlaLlAiAixQo7KZU5fDp3t6Gq5R3PhSOGnjxds1*GDGwucGfCn1XEJ*Jfiz7k7zJ1-OJIOdj6D0L4iuaOWiFnxidndH*/SUGUNAMWANAYE.jpg)
FAIZA ALLY AWAJIBU WANAOULIZA KUHUSU UHUSIANO WAKE NA MHE. SUGU
10 years ago
CloudsFM24 Jul
Faiza Ally Afunguka Kuhusu Mavazi Yake, Mtoto, Dini, Umaarufu Wake
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally amefunguka mengi kuhusu yeye mwenyewe kwenye kipindi cha Nirvana kinachorushwa na EATV usiku wa jana.
Ishu kubwa ilikuwa kuhusu mavazi yake “Napenda kuvaa vitu ninavyovaa, sina mavazi special naweza kuvaa vyovyote, niliipenda idea ya kuvaa nepi (diapers) na sina tatizo nayo kabisa”
Faiza ni mama wa mtoto mmoja wa kike, kwenye upande wa malezi ikoje? “Mimi ni mama mzuri sana, ninamtazama mtoto wangu saa 24… mavazi yangu hayaingiliani kabisa na malezi ya mtoto...
10 years ago
Bongo524 Dec
Faiza amtupia lawama ex wake (Sugu), asema hamjali mwanae
10 years ago
Bongo Movies25 Jun
Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu, Asema Atamlea Mtoto Wake na Kuvaa Mavazi Yake!
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali juu ya mavazi yake...
10 years ago
Bongo529 Sep
Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’
9 years ago
Bongo Movies04 Sep
Ninatamani Sana Kuolewa-Faiza Ally
Msanii wa filamu na mwanamitindo mwenye vituko, Faiza Ally amesema angependa kuolewa lakini wanaume wengi si waoaji.
Faiza ambaye amezaa mtoto mmoja na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi ameiambia Channel Ten kuwa kila mwanamke anatamani aolewe na awe na familia.
“Wachumba hakuna siku hizi wa kuoa,” alisema Faiza. “Hakuna mwanaume wa kuoa. Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na kuwa na familia, mimi mmoja wapo na ndoto ya kuolewa lakini wanaume wenyewe wamekuwa magumashi. Siamini...
10 years ago
Bongo Movies20 Mar
Faiza Ally (Ex wa Mheshimiwa), awajibu Wambea
Staa wa Bongo Movie, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, leo amewatolea uvuvi watu waliokuwa wakijiuliza maswali kuhusu mwanaye Sasha na na baba yake.
Kupita akaunti yake ya Instagram, Faiza ameweka picha na Mhe. Sugu akiwa na mwanaye Sasha na kuandika kuwa "Mara nyingi huwa nawapiga picha mimi mwenyewe sema tu sipendi sana kurusha kwangu"
Na kwa wale waliokuwa wanauliza maswali juu yao, Faiza amewajibu hivi: "Ni kweli kuna wakati tulikuwa hatuelewani...
9 years ago
Bongo Movies03 Nov
Faiza Ally Kuja na ‘Baby Mama Drama
Baada ya kushambuliwa na baadhi ya watu kuhusu malezi ya mtoto wake Sasha, aliyekuwa mke wa zamani wa Sugu, Faiza Ally ameamua kuweka wazi mpango wake wa kuachia filamu iitwayo ‘Baby Mama Drama’.
Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Faiza ambaye amedai ni mama kijacho, amesema ameamua kufanya filamu hiyo ili kupeleka ujumbe sahihi kwa jamii kuhusu malezi ya mtoto huyo.
“Unajua mimi mama ambaye nimekuwa na drama nyingi toka nipate mtoto. Hii ni historia katika maisha yangu, watu wana-judge...