Fastjet kwenye maadimisho ya miaka 70 ya kimataifa ya safari za anga duniani
Ofisa Habari na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro, (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr.Shaaban Mwinjaka katika maadhimisho ya miaka 70 ya Kimataifa ya safari za Anga Duniani yaliyoanza jana mpaka Desemba 5 mwaka huu katika Viwanja vya Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) Dar es Salaam, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya TCCA, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Charles Chacha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr. Shaaban Mwinjaka (wapili...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Fastjet yaadhimisha miaka miwili ya huduma nafuu kwa wasafiri wa anga
Kampuni ya ndege ya fastjet, ambayo ni Kampuni yenye gharama nafuu kote Afrika, imeadhimisha miaka miwili ya kutoa usafiri wa anga barani Africa.
Fastjet ilianza biashara ya usafiri wa anga hapa Tanzania tarehe 29 Novemba 2012, ikifanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro na Mwanza kupitia ndege yake aina ya A319.
Tangu wakati huo, Fastjet imepanua wigo wa mtandao wake nchini Tanzania pamoja na kuanzishwa kwa njia yake ya tatu kwenda Mbeya. Kwa sasa safari za Kimataifa za...
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Tanzania yaungana na mataifa mengine kuadhimisha miaka 70 ya usafiri wa anga duniani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa anga duniani yanayoendelea nchini na namna Serikali kupitia Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) ilivyojipanga kuhakikisha usalama wa ndege na abiria wanaotumia anga la Tanzania.
Tanzania inaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya usafiri wa anga, (International Civil Aviation Day) ambayo huadhimishwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAHPaOicyQVufejlD4i8hSUMAOFUMa8PebDXV4IuB5pY1E0PqZlNzgQ2OFZ8GtuoVPOFB-3cwcTAb9-HZdvUtd*7/Anga1.jpg?width=650)
TANZANIA YAUNGANA NA MATAIFA MENGINE KUADHIMISHA MIAKA 70 YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA YA DHAMINI KONGAMANO LA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO)
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Mamlaka ya usafiri wa anga yadhamini kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la kimataifa la usafiri wa anga — ICAO
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha(kushoto) akiongea wakati wa uzinduzi wa kongamano la mafunzo ya mfumo mpya wa shirika la Kimataifa la usafiri wa Anga (ICAO) lenye kulenga ufanisi wa wataalamu wa kuongoza ndege vyombo vya usafiri wa anga pamoja na mitambo ya kuongonzea ndege. katikati ni Meneja mratibu wa safari za ndege Afrika Frederic Legrand, Kongamano hilo linazihusisha nchi za Afrika linafanyika hapa nchini kwa siku tatu kuanzia leo...
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Mzee Mwinyi atembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCC) kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea Mnazi Mmoja
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Charles Chacha wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Rais Msaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akikabidhiwa nyaraka na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Charles Chach, zenye ujumbe wa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Vtq79wzxjfo/U4NdD4sLHFI/AAAAAAAFlIk/XYDAhs99ZJU/s72-c/unnamed+(30).jpg)
KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA USAFIRI WA ANGA DUNIANI (ICAO) ATEMBELEA OFISI ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KWA USAFIRI WA ANGA NCHINI (TMA)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Vtq79wzxjfo/U4NdD4sLHFI/AAAAAAAFlIk/XYDAhs99ZJU/s1600/unnamed+(30).jpg)
10 years ago
VijimamboSIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI YAADHIMISHWA KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboDk Bilal aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano la kimataifa kuhusu biashara haramu ya wanyamapori duniani