Fedha, Mkesha wa Amani kuokoa vifo vya Wajawazito na Watoto nchini!!
Na Skolastika Tweneshe-MAELEZO Fedha zitakazopatikana katika Tamasha la mkesha wa kuombea amani nchini zitatumika kuwasaidia watu wenye mahitaji hasa afya ya mama na mtoto. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Jumuiya wa Makanisa ya Pentekoste , ambaye pia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Vifo vya watoto, wajawazito vitazamwe kwa jicho la tatu
KUTOKANA na matatizo yanayoikabili sekta ya afya ikiwemo huduma zote stahiki kwa mjamzito, watoto walio chini ya miaka mitano na wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 ni wakati muafaka...
10 years ago
Dewji Blog30 Jun
Tanzania yapongezwa kwa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto
Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
![Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_01041.jpg)
Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano...
9 years ago
Michuzi10 Sep
LISHE DUNI YACHANGIA VIFO VYA WATOTO NA KIMAMA WAJAWAZITO
Hayo yameelezwa na Naibu waziri wa Afya Dokta Kebwe S.Kebwe akitoa takwimu za vifo vya watoto na kinamama vinavyosababishwa na...
10 years ago
GPLCCBRT YATOA ELIMU KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA, DAR
9 years ago
StarTV04 Dec
Vifo kwa wajawazito, watoto vyapungua Kigoma
Kasi ya vifo vinavyotokana na uzazi kwa wajawazito na watoto vimepungua mkoani Kigoma kutokana na kuanzishwa na kutekelezwa kwa mpango mkakati wa huduma ya upasuaji katika vituo vya afya vijijini.
Mpango huo umewezesha wanawake wengi wajawazitio kuondokana na adha ya kusafirishwa umbali mrefu kufuata huduma hiyo pindi inapohitajika katika hospatali za wilaya ama mkoa.
Kwa mujibu wa taarifa za Afya mkoani Kigoma, wanawake 62 walipoteza maisha mwaka 2014 kutokana na matatizo ya uzazi na...
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Vifo vya wajawazito vyaweza kuzuilika
10 years ago
Habarileo14 Feb
Zanzibar kupunguza vifo vya wajawazito
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema suala la kuimarisha maisha ya jamii na kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito na watoto wachanga ni miongoni mwa masuala muhimu.
10 years ago
Habarileo20 Jun
Sababu vifo vya wajawazito zatajwa
UKOSEFU wa nyumba za watumishi katika Sekta ya Afya hasa maeneo yenye miundombinu duni ya usafiri kunakofanya watumishi kushindwa kukaa katika maeneo hayo, kumetajwa kuwa ni moja ya mambo yanayochangia kuongeza vifo vya wajawazito na watoto.
10 years ago
Habarileo17 Mar
‘Vifo vya wajawazito ni msiba usiokubalika’
MWENYEKITI wa Bodi wa Muungano wa Utepe Mweupe na Uzazi Salama Tanzania (WRATZ), Craig Ferla amesema vifo 95,000 vya wajawazito na watoto wachanga, vinavyotokea kila mwaka nchini ni msiba mkubwa usiokubalika, ambao taifa linahitaji kutafakari kwa kina kuvitokomeza.