Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Filamu ya “Anko Kiepe” Imeingia Leo Sokoni

Filamu kali na ya kusisimua ya Anko Kiepe  imeingia sokono leo tarehe 11 na imesambazwa nchi nzima hivi karibuni akiongelea filamu hiyo mungozaji na mtunzi wa filamu hiyo Phelimon Lutwaza anasema kuwa ni kazi ya kipekee na anaonyesha uwezo wake kwa kufanya maajabu makubwa.

“Anko Kiepe inakuja kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu Bongo Movie nimefanya mambo makubwa sana katika sinema hii kiuigizaji shutingi na wasanii wameitendea haki sinema hii, pia nimeiongoza...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO

 Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga. Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa wasanii...

 

10 years ago

GPL

MSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO‏

Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.
Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Msanii Lulu aitambulisha filamu yake mpya iitwayo Mapenzi ya Mungu, filamu yaingia sokoni leo

Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.

IMG_6776

 Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa...

 

10 years ago

GPL

FILAMU KUBWA YA C.P.U IPO SOKONI LEO

FILAMU kubwa ya C.P.U Kitengo cha kutetea Watoto imeingia leo sokoni kwa njia ya mtandao, lengo likiwa ni kuwafikia watu wengi Ulimwenguni, hivyo kwa utaratibu wa kampuni ya usambazaji ya Proin Promotions ni kuuza katika mtandao baadae katika Dvd na njia nyingine. Leo Jumatatu tarehe 16.February. 2015 inapatikana mtandaoni unaweza kununua filamu hiyo kwa kutembelea www.proinpromotions.co.tz na kununua filamu ya C.P.U na filamu...

 

10 years ago

GPL

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI LEO

Aisha Bui akiwa na Gabo katika moja ya scene... AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni siku ya jumatatu, itadhihiri kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi. Aisha… ...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI LEO JUMATATU

 AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni leo, itadhihirisha  kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika. Ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi.“Najua kila mtu anakuwa na uwezo wake katika filamu lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi ndio maana mimi nimeamua kutumia kampuni yangu kutimiza ndoto zangu. Wiki hii Yuneda Entertainment...

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA C.P.U IPO SOKONI SASA

FILAMU kubwa ya C.P.U Kitengo cha kutetea Watoto imeingia leo sokoni kwa njia ya mtandao, lengo likiwa ni kuwafikia watu wengi Ulimwenguni, hivyo kwa utaratibu wa kampuni ya usambazaji ya Proin Promotions ni kuuza katika mtandao baadae katika Dvd na njia nyingine.
Leo Jumatatu tarehe 16.February. 2015 inapatikana mtandaoni unaweza kununua filamu hiyo kwa kutembelea www.proinpromotions.co.tz na kununua filamu ya C.P.U na filamu zingine za Proin Promotions utanunua na kuangalia full HD.
Sinema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Filamu ya ‘Mwiko’ yanukia sokoni

MUVI mpya ya kitanzania inayokwenda kwa jina la ‘Mwiko’ inatarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwezi ujao, ikiwa imekusanya nyota kibao wanaotikisa katika tasnia hiyo. Mkurugenzi wa OJM Film Company, Omary...

 

10 years ago

Michuzi

Filamu ya Vanila yaingia sokoni

 WADAU wa sanaa ndani na nje ya mkoa wa Mbeya wameombwa kutoa ushirikiano kwa wasanii wa filamu mkoani hapa kwa kununua kazi zinazofanywa na kuacha kasumba kuwa filamu bora zinaweza kutengenezwa na wasanii walioko Dra es salaam pekee.
Mwongozaji wa filamu wa kampuni ya Pritauj Filim Prince Hekela alitoa rai hiyo jana alipokuwa akitambulisha Filamu mpya ya Vanilla iliyochezwa na wasanii kutoka mkoani Mbeya.


Prince Hekela alisema kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wadau kuamini filamu nzuri ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani