FNB KATIKA MAONESHO YA ZANA ZA KILIMO 'AGRI BUSINESS EAST AFRICA' JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-8CAtGU8xphs/VMpcJQmW-MI/AAAAAAAHAOI/onMrqY4AJe0/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Meneja wa Biashara na Masoko wa Benki ya First National Bank (FNB), Adam Yusuf (aliyesimama ndani ya banda) akiwaeleza wateja namna benki hiyo inavyojitahidi siku hadi kukidhi matakwa ya wateja wake, ambapo kwa sasa imeongeza matawi na huduma za ATM, katika muktadha wa retail, SME, Comercial and Corporate Banking, Visa Debit Cards, InContact Mesaging, Online and Cellphone Banking, katika maonesho ya zana za kilimo maarufu kama ‘Agri Business East Africa’ yanayoendelea hotel ya ...
Michuzi