Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania awasilisha mada kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akiwasilisha mada kuhusu "Exchange Rate Developments in Tanzania and Implications for the Economy" kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa Semina fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam tarehe 18 Machi, 2015. Katika mada yake Prof. Ndulu alielezea pamoja na mambo mengine umuhimu wa Tanzania kuuza zaidi bidhaa zake nje ili kudhibiti mfumuko wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMada ya mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia na athari zake kwa nchi yawasilishwa kwa maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje
10 years ago
Vijimambo08 Jan
Mada kuhusu mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia na athari zake kwa nchi yawasilishwa kwa maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje
Bw. Allan William mtaalamu wa sekta za kibenki nchini, akizungumza katika mhadhara na Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa juu ya Mwenendo wa bei za mafuta duniani na athari zake kwa nchi yetu, mhadhara huo umefanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa JNICC uliopo jijini Dar es Salaam mapema leo Asubuhi.
Balozi Simba Yahaya, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati (wa kwanza kulia), Balozi Mbelwa Kairuki (wa pili kutoka kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na...
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA WATUMISHI WOTE WA WIZARA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula akizungumza katika kikao chake cha kwanza na Watumishi wote wa Wizara tangu alipoteuliwa na Rais hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Juni, 2015. Pamoja na mambo mengine Balozi Mulamula aliwahimiza Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje...
5 years ago
MichuziKABUDI AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUJITOA MUHANGA KWA MASLAHI YA NCHI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma tarehe 14 Machi, 2020. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Prof. Kabudi amewataka Wafanyakazi wa Wizara hiyo kutekeleza majukumu yao kwa kujituma na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AAGANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE
9 years ago
VijimamboWAZIRI MEMBE AAGANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE
9 years ago
MichuziWATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE WAMUAGA RAIS KIKWETE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE NA WIZARA YA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI ZALENGA KUBORESHA UHUSIANO WA TANZANIA KIMATAIFA.