GEPF yakabidhi msaada wa Mabati 350 kwa Waziri Mkuu Pinda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mabati 350 yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 15 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya GEPF, Bw. Daudi Msangi (wapili kulia) kwa jili ya kuezezeka madarasa mawili na jengo la utawala la shule ya Msingi ya Kakauni wilayani Mlele May 26,2014. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa katavi Dr. Rajabu Rutengwe. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe, Dr. Chrisant Mzindakaya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMH. PINDA APOKEA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA SHULE YA MSINGI KAKAUNI,WILAYANI MLELE
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA
11 years ago
Michuzi11 Jul
WAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI KWA AJILI YA MAABARA
![mwenyekit](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/mwenyekit.jpg)
Na Hillary Shoo, SINGIDA.Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mkoani Singida, Lazaro Nyalandu ametoa mchango wa mabati 420 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa shule mbili za sekondari za Kata za Mtinko na Kinyeto.Mchango huo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Jimbo hilo kuchangia katika ujenzi wa maabara mbalimbali kwenye shule za sekondari za Jimbo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-O5__avcPolg/VEkKSCe86hI/AAAAAAAGs94/3xJeMOXlR74/s72-c/PIX%2B1.jpg)
WAZIRI CHIKAWE AMKABIDHI MKUU WA WILAYA NACHINGWEA MABATI 2000 KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI
![](http://1.bp.blogspot.com/-O5__avcPolg/VEkKSCe86hI/AAAAAAAGs94/3xJeMOXlR74/s1600/PIX%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-T7RirNf69qo/VEkKR002bzI/AAAAAAAGs90/rhDiLikoX5s/s1600/PIX%2B2-Horizontal%2BPix.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9l26CrgDE0Q/U26En-q46oI/AAAAAAAFgsk/DjNEY_CI0go/s72-c/IMG_8783.jpg)
11 years ago
GPLWAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI
Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudentia Kabaka akisaini katika kitabu cha wageni katika banda la GEPF Meneja Masoko na huduma kwa wateja…
10 years ago
MichuziGEPF WAANZA WIKI MAALUM (GEPF WEEK) KWA BONANZA LA WADAU WA MFUKO KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SITA WA WADAU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania