Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA SIKU YA WAPENDANAO

LEO ni Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day! Kampuni ya Global Publishers inayochapisha Magazeti ya Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Amani, Uwazi, Risasi, Championi pamoja na kumiliki Global TV Online na mtandao huu inawatakia wasomaji na watazamaji wake furaha na amani katika siku hii adhimu. Tunapenda kuwaambia kuwa tunawapenda sana kwani mmekuwa mkitusapoti na tunaahidi kuendelea kuwapenda siku zote. Tunaahidi kuwaletea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA PASAKA

KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wamiliki wa tovuti hii na wachapishaji wa magazeti ya Amani, Uwazi, Championi, Ijumaa na Risasi inawatakia wasomaji wake kila la heri katika kusherehekea Sikukuu ya Pasaka.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2015

Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers wanawatakia wasomaji wetu wote wa mtandao na magazeti yetu heri ya mwaka mpya.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS TUNAKUTAKIA HERI YA SIKU YA KUZALIWA LEO

Mfanyakazi wa Global Publishers, Mary Raphael akiwakatika pozi.

 

9 years ago

Global Publishers

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA EID MUBARAK NJEMA

Tuisherehekee kwa upendo,amani na tudumishe umoja wetu. Eid Mubarak.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA EID AL HAJJ NJEMA

Uongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, wanawatakia wasomaji wake sikukuu jema ya Eid al Hajj.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani