GOLA Foundation yakutanisha watoto wa mitaani Arusha
Baadhi ya Watoto wa mitaani waishio jijini Arusha waliokusanywa na taasisi ya GOLA Foundation inayolenga kuwasaidia watoto wa mitaani kukabiliana na changamoto za ukosefu wa malazi, chakula, mavazi na pia elimu. Jamii inaombwa kujitokeza kusaidia watoto hao.
Kikundi cha ngoma cha watoto wa mitaani wakitumbuiza katika shughuli ya kuwakusanya watoto wa mitaani iliyofanywa na taasisi ya GOLA Foundation inayolenga kuwasaidia watoto wa mitaani kukabiliana na changamoto za ukosefu wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboGOLA KUWAONDOA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA
Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha Mwantumu Dossi akitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya Gola Foundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa mitaani,katikati ni Mkurugenzi wa shirika hilo Elisha Maghembe
habari picha na libeneke la kaskazini blog
Mkurugenzi wa shirika lisilokua la kiserikali la Gola Foundation Elisha Maghembe amesema kuwa wameanza zoezi la kuwaondoa watoto wa mitaani walioko jijini Arusha na kuwafikisha kwenye vituo...
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Watoto wa mitaani Arusha kujengewa hostel
Baadhi ya Watoto wa mitaani waishio jijini Arusha waliokusanywa na taasisi ya GOLA Foundation inayolenga kuwasaidia watoto wa mitaani kukabiliana na changamoto za ukosefu wa malazi,chakula,mavazi na pia elimu.Jamii inaombwa kujitokeza kusaidia watoto hao
Watoto wa mitaani wanaoishi jijini Arusha katika mazingira hatarishi wanatarajiwa kujengewa Hostel zitakazowasaidia kuondokana na adha ya kupata sehemu za malazi hivyo kulazimika kulala maeneo ya stendi za mabasi na masoko.
Mkurugenzi wa...
10 years ago
MichuziFISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA
.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-22LYPPBMWDY/Xs9XNcg7-1I/AAAAAAAEHWU/YGDp3mZr8mA6y3wo5ZNLA9AmFR3mUvEBQCLcBGAsYHQ/s72-c/CHZ_6333.jpg)
Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa kwa ajili ya kuwasaidia watoto Njiti, Hospitali ya Muriet jijini Arusha
![](https://1.bp.blogspot.com/-22LYPPBMWDY/Xs9XNcg7-1I/AAAAAAAEHWU/YGDp3mZr8mA6y3wo5ZNLA9AmFR3mUvEBQCLcBGAsYHQ/s640/CHZ_6333.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/1-28-1024x683.jpg)
9 years ago
VijimamboBUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.
Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...
9 years ago
MichuziBUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Tusiwanyanyapae watoto wa mitaani
HIVI sasa kuna wimbi la watoto wa mitaani katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ambao hawana uangalizi kama walivyo watoto wengine. Ni fursa sasa kwa jamii kujiuliza...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Watoto wa mitaani wanavyobakwa Sumbawanga