Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GWT KUNOGESHA MTOKO WA PASAKA

Kiundi cha kusifu na kuabudu cha Kundi la Glorious Worship Team (GWT), wakiimba moja ya nyimbo zao kwenye lililofanyika jumapili iliyopita katika ukumbi uliopo katika eneo la kituo cha mafuta cha Victoria jijini Dar. ............... wakiendelea kuimba. Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini, Martha Mwaipaja…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MTOKO WA PASAKA WA GWT ULIVYOFANA SIKUKUU YA PASAKA

Waimbaji wa Glorious Worship Team (GWT) wakiwa stejini wakati wa kumsifu Mungu na kumwabudu. Glorious Worship Team wakizidi kumwabudu Mungu katika Ukumbi wa Victoria Petrol Station. Mpiga gitaa la sauti nzito (base) wa GWT, Emmanuel Materu akicharaza gitaa hilo. Pembeni yake ni…

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Mtoko wa Pasaka wa Irene Uwoya Huko Mwanza

Hizi ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya ame-share nasi kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram akiwa jijini Mwanza ambako amekwenda kikazi zaidi.

Huu ndio ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA hapo jana. Mbali ya picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, Sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja kati waigizaji wa rembo zaidi hapa...

 

10 years ago

Mtanzania

Rebecca Malope kunogesha Tamasha la Pasaka

Rebecca MalopeNa Mwandishi Wetu

RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mwanamuziki wa injili, Rebecca Malope, amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka litakalofanyika nchini.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, sambamba na Malope, Afrika Kusini wanatarajia kutoka waimbaji wengine wawili ambao ni Solly Mahlangu na Sipho Makabane.

Msama alisema waimbaji wengine waliokubali kutumbuiza kwenye tamasha hilo ni pamoja na Ephraim...

 

10 years ago

Michuzi

WAIMBAJI KUTOKA UINGEREZA WATUA KUNOGESHA TAMASHA LA PASAKA JUMAPILI UWANJA WA TAIFA.

 Nyakwesy Mujaya akimpa au mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Uingereza, Ifeanyi Kelechi.Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Uingereza, Ifeanyi
Kelechi, akipokea ua kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya Msama Promotions, Nyakwesy Mujaya, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam le kwa ajili ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka. Kulia ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama. Msama akipeana mkono na Ifeanyi Kelechi. HABARI PICHA ZAIDI...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA SUNDAY CELEBRATION SEASON 6 YA GWT

Waimbaji wa Glorious Worship Team (GWT) wakilishambulia jukwaa katika Sunday Celebration Season 6. Kiongozi wa Bendi ya The Jordan, Daniel Mbepera, akiimba kwa hisia sambamba na bendi yake.…

 

10 years ago

GPL

DC MAKONDA AKONGA NYOYO ZA MAMIA KATIKA SEMINA YA GWT

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akijiandaa kwa mahojiano. Makonda (wa kwanza kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo na mkewe Bi. Veneranda Ephraimu Kavishe wakimfutailia MC Pilipili. Shigongo akizungumza na wahudhuriaji.…

 

10 years ago

GPL

GWT SUNDAY CELEBRATION KUJA NA SOMO LA KUTENGENEZA MARAFIKI

Mmoja wa waimbaji wa Glorious Worship Celebration akiimba. Waumini mbalimbali waliojitokeza katika Sunday Celebration wakisikiliza somo kutoka kwa mjasiriamali, Eric Shigongo (hayupo pichani). Waumini wakifurahia jambo ndani ya Sunday Celebration jana.…

 

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani