HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI OKTOBA,16 2015
Wanahabari na wahariri wahimizwa kuepuka habari za uchochezi zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchi.
Waratibu wa elimu wakabidhiwa pikipiki 82 Mkoani Lindi kwajili ya kuimarisha usimamizi wa elimu katika maeneo ya kazi ya mkoa huo, https://youtu.be/nxcOoQrqBUY
Wafanyabiashara wa mboga soko la Sanya juu wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya milipuko kutokana na dampo sokoni hapo;https://youtu.be/L1lfMcPXB0E
Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa wanachama wa NLD kufuatia kifo cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi19 Oct
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI OKTOBA 19, 2015
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi awaomba vijana mjini Zanzibar kutokubali kutumika na wanasiasa kuharibu amani; https://youtu.be/BxVbGJH8ezk
Dkt Magufuri azidi kung’ara mjini Mwanza kwa watu wengi kujitokeza na huku akiahidi kuboresha bei ya pamba: https://youtu.be/mQ3jniGJGPc
Wanaharakati mjini Arusha waiomba tume ya taifa ya uchaaguzi...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/uiLocx34ki4/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 16, 2015.
SIMUtv: Fuatilia namna ambavyo vuguvugu la kampeni za uchaguzi Mkuu linavyoweza kusababisha vurugugu siku ya uchaguzi https://youtu.be/EUyKaqh2fgQ
SIMUtv: Tambua ni kwa kiasi gani sera za wagombea kutoka vyama mbalimbali zimegusia saula la kupunguza ajari za...
9 years ago
Michuzi29 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 29, 2015.
SIMUtv: Mwenyekiti wa ZEC Jecha Sakim Jecha jana ametangaza kufuta Matokeo ya Uchaguzi visiwani Zanzibar kutokana na kasoro Lukuki. https://youtu.be/2YWBj1NboRASIMUtv: Chama Cha Mapinduzi CCM kimekusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi ya majimbo 4 ya Ndanda, Iringa mjini, kawe na Mikumi. https://youtu.be/WPEDVwm7ckESIMUtv: Baadhi ya wachambuzi wa Masuala ya kisiasa wamesema ufutaji wa...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/IAUBveMznrg/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 23, 2015.
9 years ago
Michuzi18 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 18, 2015.
Spika wa Bunge la Tanzania Anne makinda na Viongozi wa Vyama na serikali washiriki katika mazishi ya Mbunge wa Ludewa Marehemu Deo Filikunjombe. https://youtu.be/p_E20X5YaNE
Wastani wa wanawake milioni 1 duniani huugua wa saratani huku asilimia kubwa ya vifo vya wanawake hutokana na saratani ya shingo ya kizazi. https://youtu.be/ytCtaSi6qJs
Waziri mkuu Mizengo Pinda amewaasa viongozi wa serikali...
9 years ago
Michuzi20 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 20, 2015.
Kamati ya Saidia Taifa Stars ishinde yatoa dira kuhakikisha timu hiyo inashinda katika michezo yake ya kimataifa ;https://youtu.be/x5PxjRc9zpY
Shirikisho la soka Ulaya UEFA yatangaza ratiba ya mechi za mchujo za timu zitakazowania kufuzu kucheza finali za Ulaya mwakani nchini Ufaransa ; https://youtu.be/aq31NLL6HHg
NEC imewatahadharisha wananchi kuwa hakuna kifungu cha sheria kinachoruhusu mtu kubakia...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/AOgHEHRNyLQ/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 26, 2015.
SIMUtv: Waangalizi wa ndani wa uchaguzi ambao ni muungano wa Asasi Mbili CEMOT umetoa matokeo ya awali muda mchache baada ya kupiga kura.SIMUtv: Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Zanzibar imetangaza matokeo rasmi ya majimbo 2 ya ubunge na madiwani katika majimbo ya Fuoni Na Kiembesamaki. https://youtu.be/YKGnxP4NJ2E
SIMUtv: Timu ya Manchester City imerejea kileleni katika ligi kuu ya England baada ya Kutoka suluhu na...
9 years ago
Michuzi22 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 22, 2015.
SIMUtv: Fuatilia mwenendo na uchambuzi wa kampeni za vyama mbalimbali za lala salama baada ya kusalia masaa 48 kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka huu
SIMUtv: Katibu wa chama cha madereva TADU, Rashid saleh akizungumzia vitendo vya wamiliki wa vyombo vya usafirishaji kuwaadhibu madereva: https://youtu.be/ne2li6v5HN8
SIMUtv: Tambua namna ambayo Nchi imejiandaa kulinda amani siku ya uchaguzi zikiwa zimesalia...
9 years ago
Michuzi21 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 21, 2015.
SIMUtv: Tanzania imetajwa kutofanya vizuri katika utoaji wa huduma kwa wazee katika Nyanja mbalimbali hususani Afya na Mazingira. https://youtu.be/cnYXI1-elnI
SIMUtv: Rais Jakaya Kikwete ameliagiza Jeshi la Polisi nchi kufanya kazi kwa weledi ili kuhakikisha Taifa linamaliza uchaguzi Mkuu wa Amani na utulivu https://youtu.be/ktVuerobzYY
SIMUtv: Mgombea Urais CCM Dkt. John Magufuli awaondoa hofu...