HAJI ADAM: Bila wawekezaji tasnia ya filamu itayumba
Mwigizaji Haji ‘Baba Haji’ Adam amesema soko la filamu lipo isipokuwa limekosa msisimuko kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo baadhi ya wasanii kukosa ubunifu na kutunga kazi zisizokuwa na ubora. Kauli hiyo ya Baba Haji inatofautiana na za baadhi ya wasanii wenzake ambao wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa soko hilo huku wakitaja sababu kadhaa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies20 Dec
BABA HAJI: Bila Haya Tasnia ya Filamu Itayumba
Mwigizaji Haji ‘Baba Haji’ Adam amesema soko la filamu lipo isipokuwa limekosa msisimuko kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo baadhi ya wasanii kukosa ubunifu na kutunga kazi zisizokuwa na ubora. Kauli hiyo ya Baba Haji inatofautiana na za baadhi ya wasanii wenzake ambao wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa soko hilo huku wakitaja sababu kadhaa.
![Baba Haji](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/adam.jpg)
Baba Haji
Anazitaja baadhi ya sababu zinazochangia kukosekana kwa msisimko huo kuwa ni wasanii kutunga bora liende, kutumia CD yenye filamu...
10 years ago
VijimamboWADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA
10 years ago
MichuziKamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VlNLqSwOmBc/Uu-ZmasafyI/AAAAAAAFKsQ/w6RU9uz5F1A/s72-c/unnamed+(47).jpg)
Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-VlNLqSwOmBc/Uu-ZmasafyI/AAAAAAAFKsQ/w6RU9uz5F1A/s1600/unnamed+(47).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jgjF-mr0UUU/Uu-ZprOo1wI/AAAAAAAFKsk/5AGV2k4Fr-o/s1600/unnamed+(46).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Wazee ‘wanaokimbiza’ kwenye tasnia ya filamu
MARA nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari kumekuwepo na taarifa zinazohusu maisha na vibweka mbalimbali vya waigizaji huku wengi wakiwa wale walio katika umri wa ujana. Taarifa zao zimekuwa zikifuatiliwa...
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
JB:Tunafurukuta Lakini Tasnia ya Filamu Inakufa
Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu za Kibongo Jacob Stephen ‘JB’ ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kwamba tasnia ya filamu ipo katika hali mbaya.
JB ambaye amefanya kazi kubwa katika kuiinua tasnia hiyo alisema, filamu inaangukia katika kifo kama ulivyoanguka muziki wa Bongo Fleva kutokana na soko kushikiliwa na maharamia.
Staa huyo alisema hali hiyo inawafanya wasambazaji kuanza kuikimbia tasnia hiyo na wengine kushusha bei ya filamu.
“Hali ya soko kwa sasa ni mbaya sana...