HALI MBAYA YA HEWA YAKATISHA SAFARI YA CHOMBO CHA SPACEX
Roketi kwa jina la SpaceX Falcon 9 lilitarajiwa kuanza safari kutoka Kituo cha Anga cha Kennedy majira ya saa 4:33 usiku kwa majira ya Marekani, kikiwabeba wanaanga Doug Hurley na Bon Behnken kwa safari ya masaa 19, wakiwa kwenye chombo chenye muundo mpya kiitwacho Crew Dragon kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga.Kampuni ya SpaceXinayomilikiwa na bilionea Elon Musk nchini Marekani ndio iliyounda chombo hicho, na safari hiyo ingekuwa ya kwanza kufanyika na wanaanga wa Shirika la Anga za Juu la...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili28 May
Hali mbaya ya hewa imeilazimu NASA kuahirisha safari
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0ONyBCD4_A0/XlvfirDBYTI/AAAAAAALgPQ/zazNni1QN6ozj5NmQZosa9GYQtKwBnN0ACLcBGAsYHQ/s72-c/MVUAAAAAAAAAAAAAAA%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s6H8gBDNMEY/VIVjIbUrWrI/AAAAAAAG16A/Rbr5217A81c/s72-c/unnamed%2B(68).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s72-c/uk-met.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s1600/uk-met.jpg)
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Hali mbaya ya hewa yaikabili Zambia
9 years ago
StarTV31 Aug
Watanzania watahadharishwa hali mbaya ya hewa
Mamlaka ya hali ya hewa nchini imewatahadharisha wananchi kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanayotokana na uharibifu wa mazingira huenda yakasababisha hali mbaya ya hewa nchini na kukosekana kwa mvua kwa wakati.
Hali hii itasababisha kuwepo kwa hali mbaya ya chakula na ukosefu wa maji kwa muda mrefu katika maeneo kame.
Mkurugenzi wa utafiti wa mamlaka ya hali ya hewa nchini Ladislaus Chang’a amesisitiza kuwa iwapo wananchi hawatoweza kubadilika kitabia huenda nchi ikakumbwa na maafa makubwa...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Hali mbaya ya hewa ni kikwazo Ufaransa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GbqJ7PsvM80/XpQQtt_EzAI/AAAAAAALm1U/frsoz-AZWs8H1KKG_dI77hGYsXGhd4O_ACLcBGAsYHQ/s72-c/images.png)
11 years ago
Michuzi11 Feb