Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPPY BIRTHDAY DIAMOND PLATINUMZ

Staa wa muziki wa Bongo Flava Nasibu Abdul 'Diamond Platunumz'. Leo, Octoba 2,  Staa wa muziki wa Bongo Flava Nasibu Abdul 'Diamond Platunumz' anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka 25. Mpenzi wake, Wema  Sepetu ambaye wengi wanasubiri kusikia atasema nini au atatoa zawadi gani kwa Diamond ambaye alimpa gari aina ya Nissan Murano, ameandika machache kwenye Instagram na kueleza kuwa anajipanga...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Bongo Movies

Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.

wema6

Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.

“Nlitama nikupe vingi, wenda...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY TO MY ONE AND ONLY

Mohammed Matope from MarylandHappy Birthday to the world’s best husband. You are my anchor and my shield and I am blessed to be your wife. I pray that God will grant you a long life and happiness so that we will be together and celebrate many more birthdays to come. I love you so much.

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY

Gloria Sakwa wa VA.Vijimambo Team Wish You Best wishes on your birthday and throughout the coming year.

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY MO

MODEWJI BLOG TEAM : Thanking you for being a great boss just isn't enough for your special day! Thank you for inspiring us to be our best! Happy birthday, boss!
And below is a small gift from us!
Please join us to wish him a Happy Birthday by follow him on his twitter @moodewji and instagram @moodewji

 

10 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY TO YOU

Michelle Muhoka kutoka Maryland, USASisi Baba, Kaka, Wadogo wako, Mashangazi. Wajomba, ndugu na jamaa tunakutakia Kila la kheri katika maisha yako wote kwa pamoja tunasema Happy Birthday to you

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

HAPPY 50TH BIRTHDAY


Amin Dola Mayor wa Seattle, WA akiwa na mama mwenye nyumba wake.
Birthdays come and go. But our love and respect for each other will always be rock solid. None of the forces of universe can change it. We will always be there for each other this day and everyday to come. I am truly blessed to have a person like you in my life. Happy Birthday to my love.

 

9 years ago

Raia Mwema

Happy birthday Tanganyika

‘HAPPY birthday Tanzania…happy birthday me.” Naam, leo ni sikukuu ya Uhuru na Jamhuri, siku ya ku

Evarist Chahali

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani