HII NDO ADHABU UKIKUTWA NA 'BABY WALKER' CANADA
![](http://3.bp.blogspot.com/-RVF1aP3WPpo/VV33y-t7m4I/AAAAAAAABl4/c2RJ6_6R6P4/s72-c/baby_walker_small.gif)
Mwaka 2004 Canada ilipitisha sheria ya kukataza Baby walkers ndani ya nchi hiyo.. walidai kwamba mtoto akitumia baby walker inasababisha mtoto achelewe kutembea na pia kudumaza akili. Mtu yoyote atakayekutwa anamiliki au ananunua kifaa hicho faini ni dola 100,000 au kifungo cha miezi 6 jela
africanjam.com
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania