Huawei yaleta furaha onyesho Bongo Star Search
Mamia ya wapenzi wa Muziki waliofika kwenye ukumbi wa King Solomon kushuhudia fainali ya shindano la Bongo Star Search walipata fursa ya kuona simu mbalimbali za kampuni ya Huawei zilizopo kwenye soko la hapa nchini pia wenye bahati waliweza kujishindia simu ya kisasa aina ya P8 kutokana na droo iliyochezwa ukumbini hapo kabla ya shindano kuanza . Huawei ilikuwa moja ya makampuni yaliyodhamini shindano hilo.
-Wapenzi wa muziki wajishindia zawadi za simu
Mfanyakazi katika banda la Huawei...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-88-H-UXaMBI/VhZxlVBM_AI/AAAAAAAEAGM/eRQgP-cQA38/s72-c/854bf30ab22adf7e6e2e82bb61b49acb.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/oy7Ho27IrGw/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qlfqToA0E-g/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/8mdhZ9NZ5zg/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/FIBM9SG4siE/default.jpg)
9 years ago
Habarileo11 Oct
Kayumba ashinda Bongo Star Search
MSHIRIKI kutoka Dar es Salaam, Kayumba Juma ameibuka mshindi wa shindano la Bongo Star Search na kujinyakulia Sh milioni 50 na mkataba wa kusimamiwa kazi zake za sanaa wa thamani ya Sh milioni 10.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/K8DzZ9KhJWA/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/AeNSM8MYKTM/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/1eFkIm-EC1g/default.jpg)