HUDUMA YA AIRTEL MONEY HATOKI MTU HAPA YAPOKELEWA VYEMA NA WATANZANIA

Wateja wa Airtel wameipongeza kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitiabidhaa na huduma zake kuhusiana na huduma ya Airtel Money kuwa ni bora nasalama nchini. Huduma hii ijulikanayo kama "Hatoki Mtu Hapa" inawawezesha wateja wa Airtel kutuma na kutoa pesa bila makato kwa kununua kifurushi cha wiki au chamwenzi cha Bure Pack na pia kuwawezesha wateja kutuma pesa kwa nusu gharama ukilinganisha na ziwango vinavyotozwa sokoni....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WATEJA WA AIRTEL KULIPA MIKOPO YA MASOMO KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
11 years ago
GPLAIRTEL YAZINDUA LUKU OFA KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
10 years ago
Michuzi
AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA

11 years ago
Michuzi.jpg)
Wateja wa Airtel kulipa mikopo ya masomo kupitia huduma ya Airtel Money
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
Airtel Yazindua LUKU OFA kupitia huduma ya Airtel Money
.jpg)
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua ofa mpya itakayowawezesha wateja wake kupata LUKU Bonus kila wakati watakaponunua LUKU kupita huduma Airtel Money. ofi hii ni mwendelezo wa dhamira ya Airtel katika kuhakikisha wateja wake wanapata huduma bora nchini.
Akiongea kuhusu ofaa hii Meneja wa kitengo...
10 years ago
GPL
AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA
11 years ago
Michuzi
Airtel yazindua huduma ya kutuma na kutoa pesa Afrika Mashariki kupitia Airtel money

Huduma hii ya kwanza barani Afrika itamwezesha Mteja wa Airtel kutuma , kupokea na kutoa pesa kutoka kwenye salio lake la Airtel Money Hatua ya awali ya huduma hii inategemea kuanza tarehe 1 November 2014 kwa kushirikisha nchi za Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda ambapo huduma hii itaweza kupatikana...
11 years ago
MichuziWateja wa Airtel kununua Tiketi za Ndege za Precicsion Air kupitia huduma ya Airtel Money