Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MBEYA

Na Emanuel Madafa,Mbeya.
IDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua Mkoani mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 hadi kufikia 568 kwa mwaka 2014  ambapo ni sawa na asilimia 5.7.

Hali hiyo inatokana timu ya uendeshaji wa huduma za afya mkoa kukaa pamoja na kutafuta ufumbuzi wa pamoja na kuweka maazimio ambayo wamekuwa wakiyatekeleza kwa pamoja.

Akizungumza jijini Mbeya mratibu wa huduma za afya ya uzazi na mtoto mkoani humo Ndugu Prisca  Butuyuyu  amesema kutokana na usimamizi huo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TUNDURU YAWEKA MKAKATI WA KUMALIZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WACHANGA

 Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Renatus Mathias akiongea jana  wakati wa mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo wauguzi na matatibu kutoka zahanati na vituo vya Afya  mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo  ikiwa ni mkakati wa Hospitali hiyo kupunguza vifo vya akina mama wajawazito wakati wa kujifungua,watoto wachanga na walio chini ya umri wa miaka mitano,katikati Mganga Mkuu wa wilaya hiyo Dkt Wendy Robert na kulia afisa lishe wa wilaya Martha Kibona.

 

10 years ago

GPL

CCBRT YATOA ELIMU KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO WACHANGA, DAR

Kikundi cha sanaa kikitoa burudani. Burudani ikiendelea. Umati wa watu wakishuhudia. KITUO cha Tiba (CCBRT) kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) wametoa elimu ya kupunguza vifo vya mama mjamzito na mtoto kupitia uboreshaji wa huduma za wakina mama wajawazito pamoja na watoto wachanga. CCBRT wamefanya hayo leo hii…

 

9 years ago

BBCSwahili

Idadi ya vifo vya watoto imepungua

Umoja wa Mataifa unasema mafanikio makubwa yamepatikana katika kupunguza vifo vya watoto wadogo

 

5 years ago

Michuzi

RC TELACK AZITAKA HALMASHAURI NA WADAU WA AFYA KUONGEZA JITIHADA KUTOKOMEZA VIFO VYA UZAZI NA WATOTO WACHANGA


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Tathmini ya Utoaji wa Huduma za Afya ya Uzazi, Lishe na CHF iliyoboreshwa uliokutanisha wadau mbalimbali wa afya mkoani Shinyanga leo Alhamis Februari 27,2020 katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog.Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Tathmini ya Utoaji wa Huduma za Afya ya Uzazi, Lishe na CHF...

 

10 years ago

Mwananchi

UKATILI WA KIJINSIA: ‘Idadi ya watoto wachanga wanaokeketwa inaongezeka’

>Wakati serikali ikiongeza nguvu katika kupambana na utamaduni wa ukeketaji, Shirika la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limesema idadi ya watoto chini ya mwaka mmoja wanaokeketwa imeongezeka kwa asilimia 10 nchini.

 

5 years ago

Michuzi

VIFO VYA WATOTO WACHANGA VIMEPUNGUA KUTOKA 25 KWA KILA VIZAZI HAI 1000 HADI SABA KWA KILA VIZAZI HAI 1000


Na WAMJW – Dar es Salaam

05/05/2020 Vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya siku 28 vimepungua kutoka 25 kwa kila vizazi hai 1000 kwa mwaka 2015/16 na kufikia saba  kwa kila vizazi hai  1000 kwa mwezi Machi mwaka huu.

Hayo yamesemwa leo  jijini  jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa vifaa kinga, mabango,vipeperushi na vifaa vya  kutoa elimu kwa Umma kuhusu ugonjwa wa Corona kutoka kwa Benki ya Absa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yaipiku Italia kwa idadi ya vifo duniani

Watu zaidi ya 20,000 wameshakufa Marekani huku maambukizi yakipita zaidi watu nusu milioni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Nchi za Muungano wa Ulaya zarekodi idadi ya juu ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona

Idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya virusi vya Corona imeongezeka katika nchi za Italia, Uhispania na Ufaransa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Baadhi ya majimbo yaanza kufunguliwa licha ya idadi ya vifo kuwa zaidi ya 50,000 Marekani

Majimbo matatu nchini Marekani yameruhusu baadhi ya maduka kufunguliwa tena baada ya hatua zilizowekwa za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona, huku idadi ya vifo nchini humo ikizidi watu 51,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani