Iddi Azzan azindua kampeni Jimbo la Kinondoni jijini Dar
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Mh. Iddi Azzan(kulia) mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi waliofurika katika viwanja vya CCM Mwinjuma Mwananyamala jana jioni, wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja blog)
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMH. IDDI AZZAN AZINDUA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI JIJINI DAR
9 years ago
MichuziMH. IDDI AZZAN AZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qDJ7-LUoUm0/Vg1pd5pENsI/AAAAAAAH8OM/yXNxisFvkys/s72-c/unnamed%2B%252853%2529.jpg)
BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA KAMPENI JIMBO LA UZINI, ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Wana CCM na Wananchi kuwa na tahadhari na baadhi ya watu walioamua kupita mitaani kununua Vitambulisho vya kupigia kura. Alisema mpango huo umelenga kupunguza asilimia kubwa ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi Mkuu ujao wa mwezi Oktoba ambao uko wazi kutokana na utekelezaji makini wa Sera na Ilani yake ya mwaka 2010 – 2015 iliyoleta maendeleo makubwa ...
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, KARAMA MASUDI "KALAPINA" AZINDUA KAMPENI ZAKE
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aFftIi0hqks/U_irGMgTPRI/AAAAAAAGBzY/PR01H_CWvpM/s72-c/Picture%2B039.jpg)
MKURUGENZI WA MANISPAA YA KINONDONI AZINDUA CAMPAIGN YA 'SAY NO TO ABORTION - CHAGUA MAISHA JIJINI DAR
Say no to abortion ni kampeni iliyojidhatiti katika kuelimisha vijana wadogo kuhusiana na hasara za utoaji mimba, mahusiano ya mapenzi mashuleni katika umri mdogo na elimu ya uzazi.
'Utoaji mimba usio katika hali salama, mazingira mazuri na vitendea kazi viivyodhibitishwa hufanyika kila siku katika jamii zetu ingawa serekali na sheria ya nchi yetu hairuhusiwi.
Tunapoteza nguvu kazi, vijana wa taifa letu' alisema Mkurugenzi wa kampeni hiyo, ndugu Veronica Lugenzi ambayo imezinduliwa rasmi 22...
'Utoaji mimba usio katika hali salama, mazingira mazuri na vitendea kazi viivyodhibitishwa hufanyika kila siku katika jamii zetu ingawa serekali na sheria ya nchi yetu hairuhusiwi.
Tunapoteza nguvu kazi, vijana wa taifa letu' alisema Mkurugenzi wa kampeni hiyo, ndugu Veronica Lugenzi ambayo imezinduliwa rasmi 22...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA MAONESHO YA 5 YA KAMPUNI YA EAG GROUP LEO JIJINI DAR.
10 years ago
GPLMAKONDA AZINDUA KINONDONI CUP JIJINI DAR, AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.… ...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA IBADA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA KANISA LA KILUTHERI USHARIKA WA KIGOGO JIJINI DAR
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania