Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu: JK hajazuia kampeni, ni sheria

>Ikulu imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete hajazuia kufanyika kwa kampeni kuhusu Kura ya Maoni isipokuwa Sheria ya Kura ya Maoni ndiyo inayozuia  kufanyika kwa kampeni hizo kwa sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dk.Helen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu awamu ya pili ya kampeni ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili (Kampeni Gogota). Kulia ni Mratibu wa Dawati la Katiba wa kituo hicho, Anna Henga na Mwanasheria wa Kituo hicho, Harold Sungusia.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ikulu sasa yatumika kupigia kampeni za CCM — Zanzibar

Saturday, September 12, 2015 Dk Shein: Vijana sambazeni ujumbe wa historia ya ukombozi STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar 12 Septemba, 2015 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Vijana wasomi wametakiwa kuifahamu […]

The post Ikulu sasa yatumika kupigia kampeni za CCM – Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

JK AKUTANA NA MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)alipokutana na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na tasnia hiyo leo Rais Jakaya Kikwete akizungumza  na ujumbe wa mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia) Ikulu jijini Dar es Salaam jana Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Rushwa, ukiukaji wa sheria vyagundulika katika kampeni

Mtandao wa Asasi za Kiraia wa Kufuatilia Uchaguzi Tanzania (Tacceo), umetoa taarifa ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi wa urais, ubunge na udiwani na kubaini mambo mbalimbali, ikiwamo matumizi ya rushwa.

 

10 years ago

Michuzi

JK akutana na Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Sheria Ngowi Ikulu Jijini Dar es Salaam leo

 Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)alipokutana na  Rais Jakaya Kikwete Ikulu  Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na tasnia hiyo leo Rais Jakaya Kikwete akizungumza  na Ujumbe wa  Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia)ikulu jijini Dar es Salaam Leo
 Rais Jakaya Kikwete akiitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia)IKULU Jijini Dar es Salaam leo....

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atia saini kuridhia Miswada ya Sheria mitano hadharani Ikulu, Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini hati ya Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi MwihavaRais Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nishati na Madini Mhe George Simbachawene baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani