Inakuwaje mali ya mwingine ujitangazie ni yako?
NI hali ya kawaida miongoni mwetu kushirikiana na kutegemeana kwa mambo mbalimbali, imekuwa ni kama sehemu ya maisha yetu ya kila siku bila ya kujali tofauti za uwezo wa kupata mahitaji...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Jan
PICHA: Ukiona Jirani Anafaidika Na Mali Yako....Jua Kuna Mchawi Ndani Ya Nyumba Yako-Lulu
Kwa upande wa fasheni hakuna anebisha kuwa mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni DIVA wa ukweli kwa hapa Bongo na Afrika, Akitupia picha hizi Lulu aliandika msomo huu,
“Ukiona jirani anafaidika na mali yako....jua kuna mchawi ndani ya nyumba yako”
Mimi sijui alikuwa anamaanisha nini, lakini nadhani kila mtu anaweza kutafsiri kwa namna alivyo muelewa.Jambo la msingi jionee picha hizo alizopigwa na Slide Visuals..Enjoy!!
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Inakuwaje ukumbuke kukopa kulipa usahau?
KWA mtazamo wangu wa juu juu, kama kuna mtu mzima yeyote yule ambaye hajawahi kukopa katika historia ya maisha yake yote hapa duniani, basi mtu huyo atakuwa si binadamu wa kawaida...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytqQkAwaT3mZCOtJB3W3u3wVmxtYzBrvrK047ROglE85tU97tvSNebAyYjE-5OEWleg8EKoOpABzLhmbYEMCI7*f/TT.jpg?width=650)
ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: TOP IN DAR INAKUWAJE TENA MZAZI?
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Je, unaweza kuyakabili matatizo yasiathiri furaha yako na maisha yako?
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFn*2M4PbPCnBrgLsNuHmZVq3lri5iOkqAxDI6qJpODlZxOhmQvduaSLNKo785MPspvpEti1NMiaFfhOd7WWFHrw/julianadidone3.jpg)
SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu