Inna lillahi wa Inna ilayhi raaji'oun.
Kifo cha ndugu yetu kilichotokea Milton Keynes, UK, bado ndugu zetuhawajafikia malengo ya kufikisha kima kinachotakiwa kukidhi haja zoteza maziko na malengo mengine ya kijamii, ya waliomzunguka.
Maziko yanatarajiwa Alhamis ya tarehe 04 June 2015, baada ya kupatamwili kwenye majira ya adhuhuri kutokana na wahusika, in shaa allah.
Kama kuna chochote utakachojaaliwa kutoa kama ni mchango wako, tumakwenye akaunti ya benki ifuatayo:
Bank: NatwestName: Muhammad M. Y.Account no: 36555673Sort code:...
Vijimambo