introducing Baraka Da Prince na ngoma yake mpya 'JICHUNGE'
Hii ni video mpya ya msanii mpya wa Tetemesha Entertainment aitwaye BARAKAH da PRINCE. Wimbo unaitwa JICHUNGE. Video ilifanyika Dar na kuongozwa na director kutoka Arusha, NISHER. Leo 10.03.14 ndio tunaiachia rasmi, lakini audio itatoka rasmi wiki ijayo Jumatatu 17.03.14.
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania