Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


introducing MLAPA NG’OSHA: KALALE PEMA (OFFICIAL VIDEO)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Gabriel Samalu Ng’osha ‘Mlapa Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Kalale Pema' aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama mjamzito.Mojawapo ya picha katika video hiyo.Video hiyo imetengenezwa chini ya prodyuza Melkiadi Oreje 'OJ' wakati audio ikifanywa na Lebo ya Audio Visual ya nchini Kenya chini ya maprodyuza Haptune & Douncher.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MLAPA NG’OSHA: KALALE PEMA (OFFICIAL VIDEO)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Gabriel Samalu Ng’osha ‘Mlapa Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Kalale Pema' aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama mjamzito.Mojawapo ya picha katika video hiyo.
Video hiyo imetengenezwa chini ya prodyuza Melkiadi Oreje 'OJ' wakati audio ikifanywa na Lebo ya Audio Visual ya nchini Kenya chini ya maprodyuza Haptune & Douncher.

 

10 years ago

GPL

MLAPA NG’OSHA: KALALE PEMA (OFFICIAL VIDEO)

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Gabriel Samalu Ng’osha ‘Mlapa Ng’osha' ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Kalale Pema' aliyoelezea maisha ya mateso anayopata mama mjamzito. Mojawapo ya picha katika video hiyo. Video hiyo imetengenezwa chini ya prodyuza Melkiadi Oreje 'OJ' wakati audio ikifanywa na Lebo ya Audio Visual ya… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kalale pema ‘Jembe letu’ Muhidini Maalim Gurumo

TASNIA ya muziki wa dansi nchini imepata pigo kubwa la kuondokewa na mwanamuziki mkongwe, Maalim Muhidini Gurumo aliyefariki jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam alikokuwa...

 

11 years ago

GPL

KING DESA MO, MLAPA NG'OSHA WAFANYA KWELI TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 TAIFA

Mwandishi wa Global Publishers Ltd ambaye pia ni msanii wa Hip hop, Deogratius Mongela 'King Desa Mo' akifanya yake katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar mchana huu. Mwandishi mwingine wa Global Publishers Ltd ambaye pia ni msanii wa Gospel, Gabriel Ng'osha 'Mlapa Ng'osha' naye…

 

10 years ago

Michuzi

INTRODUCING DAT - EKIGAMBO (OFFICIAL VIDEO)


ARTIST: DATVIDEO: EKIGAMBOGENRE: TAULA TAMADUNIPRODUCTION: WHITE, CONCEPT MEDIA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani