introducing "Mrembo wa Kiafrika", Bongo Flava Trak Mpya toka Kwa 3G
![](http://4.bp.blogspot.com/-FQEIalhY3Nk/U70eM1CO33I/AAAAAAAAAmo/uk_fK9JYOhs/s72-c/g-fullah%5B1%5D.jpg)
Vijana wa Kitanzania watatu wajulikanao kama 3G, wako mbioni kuachia singo yao ya kwanza, "Mrembo wa Kiafrika". Vijana hawa, ambao wali-rekodi singo hiyo mwaka jana ni G Fullah, Frankie G na Oz Bitala. Hivi sasa wimbo huo, ambao pamoja na harmony na kuchana, una mandahari ya zilipendwa kama za Miriam Makeba na Abeti Masikini. Wimbo una ladha tofauti kidogo, na ni mziki ulioyotulia ukiambatana na acoustic guitar pekee.
Tafadhali sikiliza track hii, alafu tungependa kujua maoni yenu: je,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-WQh6vSO_MeQ/VJ2BEPpdkjI/AAAAAAADSjw/-b18O-O7R0U/s72-c/C360_2014-12-26-16-03-07-968.jpg)
MSANII WA BONGO FLAVA TOKA UGIRIKI ANAYESUMBUA PANDE HIZO
![](http://1.bp.blogspot.com/-WQh6vSO_MeQ/VJ2BEPpdkjI/AAAAAAADSjw/-b18O-O7R0U/s1600/C360_2014-12-26-16-03-07-968.jpg)
Kijana michael jackson kwa umaarufu wake hapa nchini Ugiriki lakini jina lake kamili ni juma ramadhani amabaye anayekuja kwa kasi kali mno hapa jijini Athens kwa nyimbo zake za bongo fleva na utoa show mbali mbali kwenye kumbi za hapa Ugiriki hususani kwenye fest vall na n.k hivi sasa kijana huyuu amepata wadhamini kadha kutoka nchi za nje akisubili mipango yake tutazidi kuwaeleza baadae na hata baadhi ya waimbaji wa kibongo waliowahi kuja hapa wanamjuwa kwa machachali yake anapokuwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UCKR_h9Cez8/XunUMQedNbI/AAAAAAALuME/qrRRXHoh6QohptFhemO1PkL0WeMj5wdFQCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot%2B2020-06-17%2Bat%2B11.24.16.png)
BONGO FLAVA COMING OF BONGO POLITICAL AGE
![](https://1.bp.blogspot.com/-UCKR_h9Cez8/XunUMQedNbI/AAAAAAALuME/qrRRXHoh6QohptFhemO1PkL0WeMj5wdFQCLcBGAsYHQ/s640/Screenshot%2B2020-06-17%2Bat%2B11.24.16.png)
When Joseph Mbilinyi alias Mr. Two, or Too Proud and now Sugu, was sworn in as Member of Parliament for Mbeya urban in 2010, he sent buzzing vibes to the Tanzania music industry. It was surreal to imagine that a Bongo Flava artist barred its reputation at the time, making it to its most potent legislative organ. Sugu, known for his strong lyrical messages, is regarded as an epitome of Bongo Fleva entrance into politics by being brave enough to challenge the status quo of...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
EXCLUSIVE!!: Mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu na Idris wawakivutio kuapishwa kwa Dk.Magufuli
Wema Sepetu (katikati), Idris Sultan upande wa kulia na kushoto ni Mh. Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji wakipata picha ya pamoja katika jukwaa hilo la kulia ambalo lilikuwa maalum kwa wageni mbalimbali waalikwa na watu maalufu ndani na nje leo wakati wa tukio la kuapichwa kwa Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[TEMEKE-DAR ES SALAAM] Wakati Watanzania na dunia nzima leo Novemba 5, 2015) imeshuhudia kuapishwa kwa rais wa tano...
11 years ago
TheCitizen25 Mar
We need a Bongo-flava metamorphosis fast!
10 years ago
TheCitizen19 Sep
COVER: Where did ‘Bongo Flava’ tag come from?
11 years ago
TheCitizen25 Apr
Pay for play the new bug in Bongo Flava
9 years ago
TheCitizen30 Oct
Diamond sets the bar for Bongo Flava
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80411000/jpg/_80411140_80411133.jpg)