Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Introducing "Nitarudi Morogoro Country" by Best Nasso

Singer Name:- Best Nasso Video Name:- Nitarudi Morogoro Country;- Tanzania Genre;- Bongo Flavour Director:- Saimako

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Best Nasso – Rumba

Best-Nasso

Hii ni video mpya ya msanii Best Nasso inaitwa “Rumba”, Audio imetayarishwa na Chief maker kutoka studio za Chief Music na video ikiwa imetayarishwa na kuongozwa na Kenny Ukiyz.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

KIGWEMA, BEST NASSO: TUTAKUKUMBUKA SIDE BOY

Wasanii Best Nasso kushoto, Hamisi Kibiti ambaye ni Meneja wa Best Nasso na kulia ni msanii Kigwema kwenye picha ya pamoja wakiwa safarini kuelekea Lindi kwenye mazishi ya msanii mwenzao. Mdogo wa msanii Side akiwa kwenye picha ya pamoja na Best Nasso, Kigwema na waombolezaji wengine mara baada ya kufika mkoani Lindi. Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Best… ...

 

11 years ago

Habarileo

Odinga- Nitarudi msituni

KIONGOZI wa muungano wa Cord, Raila Odinga ametangaza 'atarudi msituni' iwapo madai ya hoja walizoziorodhesha chini ya kampeni ya Okoa Kenya hazitatafutiwa ufumbuzi na Serikali.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Nitarudi na mawaziri kujibu hoja

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kuwapeleka baadhi ya mawaziri kwa jamii ya wafugaji wa Kimasai wanaoishi katika vijiji vilivyopo ndani ya Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro.

 

9 years ago

BBCSwahili

Riek Machar:Sijui nitarudi lini uongozini

Makamu wa rais wa zamani wa Sudan Kusini, Riek Machar, anasema kuwa hajui ni lini atarejea nchini humo na kuendelea na kazi yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani