JAMES MILNER AIAGA MANCHESTER CITY NA KUJIUNGA RASMI NA LIVERPOOL
![](http://2.bp.blogspot.com/-pTnIJxxTZUQ/VXCNjBplurI/AAAAAAAAB6Q/47ciKPzMqGY/s72-c/68015.jpg)
Wiki mbili baada ya kumalizika kwa ligi kuu ya Uingereza, dirisha la usajili barani ulaya limeanza kushika hatamu.Klabu ya Liverpool leo hii imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo James Milner kutoka Manchester City.Milner mwenye umri miaka 29, alipiga chini nafasi ya kuendelea kubaki Etihad Stadium ili awese kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza chini ya Brendan Rogers msimu ujao.Milner amemaliza mkataba wake na City, na atajiunga rasmi na Liverpool tarehe 1 mwezi...
africanjam.com
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Liverpool kumsajili James Milner
5 years ago
Ealing Times09 Mar
James Milner believes Liverpool's remarkable season has been taken for granted
5 years ago
Mirror Online25 Mar
Liverpool's James Milner has fans in stitches as he names his 'isolation XI'
5 years ago
TalkSPORT.Com09 Apr
Transfer news LIVE: Liverpool blow, James to Manchester United, Chelsea in Coutinho talks
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Mbunge wa Kahama, James David Lembeli aondoka CCM na kujiunga rasmi na CHADEMA
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo...
10 years ago
GPLMBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA
10 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: MBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA
10 years ago
MichuziBREEKING NEWSSSSS:MBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3QMh20f3fusdgcq6MyWoiXXpEggoxFNEBy6Vzxrlwt9FakClkkJX5BW*ichJbbWK3GFgrzPDZbZmzoqjN81U1Kr/1503962_691860927513448_1386151829_n.jpg?width=650)
FT: MANCHESTER CITY 2, LIVERPOOL 1