Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JANUARI MAKAMBA AFUNGA KONGOMANO LA MFUMO WA UHAMAJI KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI KWA AFRIKA (DBSF) 2014

 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akitoa hotuba yake wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali kwa Afrika (DBSF) 2014 katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Kongamano hilo la 9 liliandaliwa na Shirika la Utangazaji kwa Nchi za Jumuia ya Madola (CTO) kwa ushirikiano mkubwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Srikali ya Tanzania ambao ndio wenyeji.  Mgeni rasmi katika ufungaji wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MIJADALA YAENDELEA KONGAMANO LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF), MAKAMBA KULIFUNGA ARUSHA LEO

 Mkuu wa Huduma za Utangazaji na Mawasiliano ya redio kutoka Shirika la Utangazaji la Kimataifa (ITU), Pham Nhu Hai akiwasilisha mada katika kongamano hilo.  Mjadala ulifautiliwa kwa umakini na washiriki  Muongozaji wa mjadala huo, Simon Spanswick (kushoto) ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa ITU akiwa katika mjadala la na Pham Nhu Hai.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI AFUNGUA KONGAMANO LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) ARUSHA LEO

   Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali Afrika  2014 (DBSF)ulioanza leo jijini Arusha. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO), Tim Unwin akifuatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof. John Nkomwa.  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...

 

11 years ago

GPL

DK. MUKANGARA AFUNGUA KONGAMANO LA TISA LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) JIJINI ARUSHA LEO

 Mkuu wa Huduma za Utangazaji na Mawasiliano ya redio kutoka Shirika la Utangazaji la Kimataifa (ITU), Pham Nhu Hai akiwasilisha mada katika kongamano hilo.  Mjadala ulifautiliwa kwa umakini na washiriki.…

 

11 years ago

Michuzi

DKT. MUKANGARA AFUNGUA KONGAMANO LA TISA LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) JIJINI ARUSHA LEO


 Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO), Bw. Tim Unwin akizungumza. Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akitoa hotuba kwa Niaba ya Makamu wa Rais wa Tanzania ambaye alipaswa kuwa mgeni rasmi
Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akiendelea na  hotuba yake  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Umoja wa mashirika...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA 9 LA CTO CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) KUANZA KESHO ARUSHA


 Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbie Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la  9  la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha Tanzania. Katikati ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin, akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mahsriki (EACO) Hodge...

 

9 years ago

Press

Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)

Picha na 1

Picha na 2

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akifunga Mkutano wa 10 wa  uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo jana. Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa mkutano huo baada  ya  kuonekana kufanya vizuri katika uhamaji wa matumizi ya mfumo wa analogia kwenda digitali kwa wakati.

Picha na 3

Mkurugenzi wa Idara...

 

10 years ago

GPL

TCRA YAZUNGUMZIA MABADILIKO KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI

Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa TCRAm Innocent Mungy (katikati) akitoa tamko; kulia ni Ofias Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala na Mhandishi Mkuu wa TCRA, Christopher  Assenga. Wanahabri wakifuatilia tukio hilo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani