Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


January Makamba: Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Historia yake January Makamba ni mmoja kati ya vijana machachari katika siasa za Tanzania akiwa na sifa kubwa ya kuendesha siasa za kisasa na zinazowavutia vijana wengi. Makamba alizaliwa Januari 28, 1974 mkoani Singida (ana miaka 41 sasa) na ni mtoto mkubwa kati ya watoto wanne wa Mzee Yusuph Makamba. Kwa sasa January ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kulia) muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini mikataba ya usambazaji huduma za mawasiliano ya simu za mkononi maeneo ya vijijini kati ya makampuni ya simu na Mfuko wa Wamasiliano kwa Wote - (UCSAF) jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilano wa Airtel Beatrice Bandawe. Mkuu wa Idara...

 

10 years ago

Vijimambo

Naibu Waziri January Makamba amemtolea


Naibu Waziri January Makamba amemtoleauvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, KingungeNgombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Urais kwatiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.Kingunge kumpigania mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani EdwardLowassa, amekuwa akitoa matamko mbalimbali kuhusiana na mchakato huoakisema haukutenda haki hasa baada ya kuenguliwa jina la Lowassaambapo baada ya mchujo wa majina likapatikana jina la mgombea mmoja,Dk John...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa afungua mkutano wa wadau waTEHAMA

01

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akifungua mkutano wa siku mbili wa wadau  wa Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la ufa leo jijini Dar es salaam. 

Na Eleuteri Mangi- Maelezo

Serikali imejenga mazingira mazuri kwa wawekezaji ili kuvutia makampuni mbalimbali kuwekeza kwenye sekta ya mawasiliano nchini.

Kauli hiyo imemtolewa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa alipokuwa akifungua mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia afungua mkutano wa wadau wa TEHAMA Jijini Dar

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akifungua mkutano wa siku mbili wa wadau wa Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la ufa leo jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia John Mngondo (kulia) akiwa miongoni mwa washiriki wa mkutano wa siku mbili wa wadau Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la Ufa leo jijini Dar es salaam. Mkurugenzi...

 

10 years ago

GPL

Naibu Waziri Mhe. January Makamba azindua Kundi la Kaone Sanaa Group Dar Live

Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia .Mhe. January Makamba azindua Kundi la Kaone Sanaa Group Dar Live usiku huu. hapa akiwa katika picha ya pamoja baada ya uzindua. Wasanii wa Kaolewakiwa stejini…

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM : Stella Manyanya– Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Stella Manyanya (Mhandisi) ndiye Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundu Mhe. Eng Stella Manyanya afungua mafunzo ya walimu mahiri wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili Ruvuma.





 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma  na Halmashauri ya Ludewa Mkoa Njombe. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Eng Stella Manyanya akishiriki katika darasa mojawapo la mafunzo ya Walimu Wawezeshaji wa masomo ya Hisabati, Kiingereza na Kiswahili kutoka shule za msingi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani