Je ni ipi hatma ya Warundi waliolazimika kwenda uhamishoni kipindi cha Rais Pierre Nkurunziza?
Nini hatma ya Warundi wanaoishi uhamishoni baada ya kifo cha Rais Pierre Nkurunziza? Msikilize Marina Barampama aliyekuwa makamu wa pili wa rais wakati wa utawala wa Rais Pierre Nkurunziza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi5 years ago
BBCSwahili10 Jun
Domitien Ndayizeye aliyekuwa rais wa Burundi asikitishwa na kifo cha Pierre Nkurunziza
Bwana Ndayizeye alisalia madarakani hadi aliporithiwa na Pierre Nkurunziza Agosti 26, 2005.
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?
Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Pierre Nkurunziza:Duru za kuaminika zathibitisha kifo cha Rais wa Burundi kimetokana na Covid 19
Duru za karibu na rais Pierre Nkurunziza zimethibitisha kuwa kiongozi huyo wa Burundi amefariki baada ya kuambukizwa virusi vya corona.
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Azma ya Rais Nkurunziza ni ipi mwakani?
Huku uchaguzi mkuu ukitarajiwa kufanyika Burundi mwakani, je rais Nkurunziza atahudumu zaidi baada ya miaka kumi uongozini?
10 years ago
BBCSwahili15 May
Rais Pierre Nkurunziza arejea nyumbani
Rais Pierre Nkurunziza amejerea nchini mwake, baada ya kuwepo kwa jaribio la kumpindua akiwa nchini Tanzania kwenye mkutano .
5 years ago
BBCSwahili09 Jun
Rais wa Burundi , Pierre Nkurunziza ni nani?
Nkurunziza ni kiongozi wa zamani wa waasi ambaye alijisifu kuwa ameleta amani katika utawala wake nchini Burundi.
10 years ago
BBCSwahili14 May
Rais Pierre Nkurunziza yuko wapi?
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, inasemekana ameondoka nchini Tanzania saa moja baada ya kupatikana taarifa za kupinduliwa kwake
10 years ago
BBCSwahili07 May
Rais Pierre Nkurunziza hatagombea tena
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amewaambia mawaziri wa Afrika Mashariki kwamba baada ya muhula huu wa tatu hatagombea tena..
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania