Je 'utawala wa kidini ' ulioachwa na Nkurunziza utaendelezwa?
Hayati Pierre Nkurunziza aliyekuwa rais wa Burundi aliyefariki dunia ghafla tarehe 8 Juni, atakumbukwa miongoni mwa mambo mengine kwa ''uongozi uliotawaliwa na itikadi za kikristo''. Lakini je itikadi hizi zitaendelezwa na mrithi wake Meja Pierre Ndayishimiye?
BBCSwahili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania