Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je wajua kuwa wakongwe wa Brazil walihusishwa kuandaa kombe la dunia 2014?


Na Sultani Kipingo

Kamati ya maandalizi ya Kombe la Dunia 2014 ilikuwa na nyota watano wa zamani wa Brazil (pichani wakiwa na maafisa wa chama cha soka cha Brazil) waliowahi kuwika katika michuano hiyo tokea mwaka 1958 ilipofanyika nchini Sweden. Kamati hiyo, iliyoundwa January 2013 inaundwa na wachezaji wakongwe kina kutoka kushoto juu:

Amarildo Tavares da Silva (wa tatu toka kulia) , José Roberto Gama de Oliveira (Bebeto), Carlos Alberto Torres, Marta Vieira da Silva, Ronaldo Luis...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Dhambi za Kombe la Dunia zisizosahaulika

Katika maisha ya sasa uliyowahi kuyaona, kuna watu wema na wabaya. Vituko katika fainali za Kombe la Dunia haviepukiki.

 

11 years ago

Dewji Blog

Vijimambo vya Kombe la Dunia Brazil 2014

2014-FIFA-World-Cup-Brazil

Na Eleuteri Mangi-Maelezo

Mashindano ya soka kombe la dunia yanaendelea kunoga na kupamba moto nchini Brazil yakijumuisha jumla ya wachezaji 892 wanaoshiriki mashindano wa mpira wa miguu duniani maarufu “Fifa World Cup” ya mwaka 2014.

Mashindano hayo yamepambwa na majina ya mbalimbali ya wachezaji kutoka nchi zinzoshiriki kinyang’anyiro hicho kwa mwaka huu.

Kwa mujibu wa mtandao wa FIFA, wachezaji wenye majina yenye herufi “M” ndio wanaoongoza kwa idadi kubwa katika michuano hiyo ambao...

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Kuna Usimba na Uyanga Kombe la Dunia

Brazil.Unashangaa mashabiki wa Simba wakiwa wako kimya pindi mpira ukishikwa na Kevin Yondani wa Yanga katika mechi ya Taifa Stars? Unashangaa mashabiki wa Yanga waki wako kimya pindi mpira ukishikwa na Amri Kiemba wa Simba katika mechi ya Taifa Stars?

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Echiejile nae nje Kombe la Dunia

Elderson Echiejile atakosa Fainali za Kombe la Dunia msimu huu kutokana na maumivu ya misuli ya paja.

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Suarez hatihati kuendelea Kombe la Dunia

Mchezaji wa Uruguay, Luis Suarez anatarajiwa kukumbana na adhabu kali ambayo itasababisha ashindwe kuendelea na fainali za Kombe la Dunia 2014, ikiwa itathibitika kuwa alimng’ata kwa makusudi Giorgio Chiellini wa Italia.

 

11 years ago

Mwananchi

Kambi za timu 32 Fainali za Kombe la Dunia 2014 Brazil

Kila zinapofanyika fainali za Kombe la Dunia, timu zinazoshiriki fainali hizo hupewa nafasi ya kuchagua hoteli na viwanja vya mazoezi vinavyokuwa vimeandaliwa kwa ajili ya kuweka kambi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani