Jenista Muhagama afunga mafunzo ya siku 5 kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa
Mbunge wa Jimbo la Ludewa Ndugu Deo Filikunjombe akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha Semina ya Siku 5 ya Mafunzo kwa viongozi hao wa CCM iliyofanyika kwenye ukumbi wa Serengeti ,JB Belmont jijini Dar es Salaam. Dk.Susan Kolimba akichangia mambo muhimu kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha mafunzo ya siku 5 kwa viongozi hao. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mheshimiwa Jenista...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi15 Jun
MH. JENISTA MHAGAMA AFUNGA MAFUNZO YA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziBalozi Seif Iddi afunga mafunzo elekezi ya siku Tano ya Viongozi na watendaji wa CCM, Zanzibar
11 years ago
Dewji Blog14 Jun
Deo Filikunjombe andaa semina kwa viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa inayohusu masuala ya kuimarisha Chama na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Ludewa ambalo linaongozwa na Mbunge wake Machachali na makini Mh. Deo Filikumbjombe, Semina hiyo imeandaliwa na Mbunge wa jimbo hilo ambayo ilianza na ziara ya kimafunzo ya viongozi hao wa CCM wilaya ya Ludewa ambapo walianzia mjini Dodoma...
11 years ago
GPLDEO FILIKUNJOMBE AANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE
5 years ago
MichuziCCM Ludewa yaishauri ofisi ya Wilaya Udhibiti wa COVID-19
Na Shukrani Kawogo, Njombe
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)wilayani Ludewa mkoani Njombe imeishauri serikali kupitia mkuu wa wilaya hiyo Adrea Tsere kuweka mkakati madhubuti wa kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID 19) katika maeneo ya mikusanyiko ikiwemo maeneo ya minada na maeneo ya kuingilia ndani ya wilaya.
Ushauri huo umetolewa katika kikao cha taarifa juu ya mwenendo wa ugonjwa huo katika wilaya hiyo ambayo ilitolewa na Muuguzi mkuu ofisi ya wilaya Bw....
11 years ago
Michuzi07 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE AFUNGA RASMI MAFUNZO YA MADEREVA BODABODA NA WAJASIRIAMALI MAKETE
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA VIONGOZI WA CCM WA LUDEWA LEO IKULU DAR
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA VIONGOZI WA CCM WA LUDEWA LEO IKULU DAR ES SALAAM