JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DARE SALAAM LAVUNJA KAMBI YA KIKUNDI KINACHODAIWA KUENDESHA UGAIDI WA KIHALIFU

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova akionyesha silaha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)walizozikamata kutoka kwa majambazi katika operesheni ya jeshi hilo iliyofanyika ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) juu ya operesheni mbalimbali za jeshi hilo na mafanikio yake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM LAVUNJA KAMBI YA KIKUNDI KINACHODAIWA KUENDESHA UHALIFU

Na Chalila KibudaJESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limevunja kambi inayodaiwa kuendesha uhalifu wa kigaidi wa kuvamia vituo vya polisi na kunyanganya silaha kwa ajili ya kuendeleza uhalifu na kuweza kukamata...
10 years ago
Vijimambo
TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI

Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...
11 years ago
Michuzi02 Sep
11 years ago
Michuzi15 Sep
9 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi25 Dec
10 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LINATOA TAHADHARI WAKATI WA UCHAGUZI WA MARUDIO, SERIKALI ZA MITAA

Awali, uchaguzi huo ulifanyika nchini kote tarehe 14/12/2014 na kulazimika kuahirishwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kutokana na sababu mbalimbali. Katika mkoa wa Dar es Salaam uchaguzi huo...
11 years ago
Michuzi
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam latimua kazi askari wanne kwa kujihusisha na uhalifu

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewafukuza kazi askari wake wanne waliodhibitika kujihusisha na matukio ya uhalifu, kwa mujibu wa Kamanda wa kanda hiyo Kamishna Suleiman Kova (pichani).
Kamanda Kova amesema leo jijini kuwa hatua hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa awali kubaini kuwa askari hao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu. Ameseme vitendo hivyo ni pamoja na tukio la Machi 9, 2014 ambalo lilitokea eneo la Mbezi beachi ...