Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jifunze kiswahili uwafunze na wengine

NINGEPENDA kuwauliza wasomaji wangu  kwa nini waandishi hawazingatii maelekezo na maoni  kuhusu uandishi bora yanayotoilewa  mara kwa mara kupitia gazeti hili?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili uwafunze wengine 4

Ningependa kuwauliza wasomaji wangu  kwa nini waandishi hawazingatii maelekezo na maoni  kuhusu uandishi bora yanayotoilewa  mara kwa mara kupitia gazeti hili?   Inawezekana kuwa waandishi   wanaosoma makala zangu ama hawaelewi au hawapendi kubadilika. Hata hivyo, hatutakata tamaa kwani taaluma ya saikolojia inadai kuwa wako  watu wenye vichwa vigumu kuelewa jambo na wako wepesi kukubali mabadiliko.

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili Uwafunze Wengine.

MAKOSA yanayojitokeza katika magazeti  mengi ya Kiswahili ni kutokana na waandishi kutokuwa makini na wengine kutokuwa na ujuzi wa kutosha katika sarufi na fasihi Ya Kiswahili. Ninaposema waandishi nina maana ya kuwahusisha  wataalamu wengine wa uandishi wa habari kama vile wahariri, wahakiki kurasa na wadhibiti maandishi. Hawa wote ni muhimu katika uandishi bora. Hebu soma sentensi zifuatazo: “Jukwaa la Wanarukwa lina dhumuni la kuhamasisha watu kuchangia sekta za kilimo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili na uwafunze wengine 4

MAKOSA yanayojitokeza katika magazeti  mengi ya Kiswahili yatokana na waandishi kutokuwa makini na wengine kukosa ujuzi wa kutosha katika sarufi na fasihi ya Kiswahili. Kwa kuwa makosa haya yanaendelea kujitokeza, makala zangu zina nia ya kupunguza makosa hayo kwa kunukuu sentensi chache kwenye magazeti na kurekebisha makosa pamoja na kutoa maelekezo. Nimeweza kunukuu  sentensi chache lakini kwa uchunguzi wa kina yako makosa mengi sana ya upatanishi wa kisarufi, matumizi mabaya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili uwafunze wengine 5

Makosa yanazid di kujitokeza katika maandishi tunayosoma katika magazeti ya Kiswahili. Hata hivyo mabadiliko machache yamejitokeza na baadhi ya waandishi  wameonyesha mabadiliko. Nawapongeza wale walioonyesha dalili za kujirekebisha lakini bado kuna tatizo la uandishi wa Kiswahili fasah

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili na uwafunze wengine 2

HUU ni mfululizo wa makala yenye lengo la kuwafahamisha wananchi na hasa wasomaji wa makala zangu kuwa waandishi hawana budi kujitahidi kuandika Kiswahili kilicho fasaha na sanifu.Tanzania ikiwa ni kitovu cha ufasaha wa lugha kwa kipindi iefu tangu iliposanifiwa miaka ya 1930 na kamati ya Lugha ya Afrika ya Mashariki.

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili -2-

di kisichopungua miaka miwili, nimekuwa nikipitia magazeti ya Kiswahili yanayochapishwa hapa nchini. Nimegundua kuwa baadhi ya waandishi na wahariri hawako makini katika matumizi ya Kiswahili fasaha. Pamoja na juhudi zangu za kusahihisha makosa yanayojitokeza katika magazeti, bado juhudi zangu hazijazaa matunda ya kuridhisha.

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili -3

da kuomba radhi kwa wasomaji wapya wa gazeti hili kuwa baadhi ya maelezo nitakayotoa pengine ni marudio ya maelezo ya hapo awali lakini yatawasaidia wengine. Kwa hiyo makala yangu ya leo yana lengo ya kile nilichowahi kuandika hapo awali kwa kuyakosoa magazeti ya Kiswahili. Baada ya kuyachunguza nimegundua kuwa yako makosa yaliyojitokeza ambayo yanatokana na uzembe wa waandishi wa kutofanya utafiti wa kutosha kwa mada husika ambapo makosa mengine yanatokana na udhaifu katika ujuzi wa misingi...

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili

Ni mara chache tunasoma makala au taarifa katika magazeti na pia katika majarida na kujiridhisha kuwa muundo na mpangilio wa maneno unakuwa fasaha na sanifu. Kinachoonekana ni ukosefu wa umakini katika matumizi, maana  na tahajia sahihi za maneno.

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili 2

Kabla ya kuanza makala yangu,  napenda  kuwafahamisha  wasomaji  wangu kuwa  baadhi yao wameniletea   maoni na mawazo  kuhusu mambo mbalimbali ya  msingi katika  lugha.  Ni jambo jema  kama nitawaleteeni   mawazo  hayo  ili nanyi muweze  kuyatafakari.  Kwa mfano  mwandishi mmoja  mwenye  simu na. 0713 614058 aliniandikia,  akisema,  “ Ndugu, Mtanzania huyu asiyejiamini  katika biashara za kimataifa  kwa sababu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani