Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Tujiandikishe katika Daftari la Mpigakura

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amewahimiza Watanzania kujiandikisha katika Daftari la Mpigakura wakati ukifika. Rais alisema hayo katika Salamu zake za Mwaka Mpya wa 2015 kwa Watanzania, jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Kagurumjuli awataka BVR Kits Operators, wandishi waSaidizi kuzingatia kanuni na taratibu katika uboreshaji awamu ya pili daftari la mpigakura.




Watumishi wa BVR Oparetas Kts na waandishi wa saidizi wakiwa kwenye mafunzo ya namna ya kutumia mashine hizo pindi watakapokuwa kwenye majukumu ya kuwahudumia wananchi watakaofika kuhakiki taarifa zao ili waweze kupata kitambulisho cha mpiga kura.
Afisa mwandikishaji ambaye ndio Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Bwana Aron Kagurumjuli akizungumza na watumishi hawapo pichani waliokuwa kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura katika shule ya msingo...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE NASSAR ATUMIA HELKOPTA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR.Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Jshua Nassar akizungumza na wananchi katika kata ya Shambarai Burka wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo kuhasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftarai la...

 

10 years ago

GPL

UHAKIKI WA TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Kwa mikoa…

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Mutungi ajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura

Zikiwa zimebakia siku chache tu kuisha kwa siku zilizotengwa na Serikali kwa wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura kwa mfumo wa BVR katika Jiji la Dar es salaam.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Mwandikishaji Msaidizi Bi. Maida Ally Yusufu akimsainisha Jaji Mutungi  fomu ambazo zimebeba taarifa zake kwa ajili ya kujiandikisha Leo katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge Jijini Dar es salaam.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Alama za vidole zikichukuliwa na Mwandikishaji Bw. Ernest Moses Selelya mara baada ya kukamilisha taratibu za...

 

5 years ago

CCM Blog

MSIWAINGIZE RAIA WA KIGENI KATIKA MABORESHO YA DAFTARI LA WAPIGA KURA


Na Daniel Mwambene 

“Msiwaingize raia wa kigeni katika maboresho ya Daftari la Wapiga Kura”DED wa Ileje awataka wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje.
Katika kuhakikisha Watanzania wanashiriki vema kwenye Uchaguzi Mkuu ujao Afisa Mwandikishaji wa wa Jimbo la Uchaguzi la Ileje Ndg.Haji Mnasi aliwataka wakazi wa Halmashauri hiyo kulinda zoezi hilo kutoingiliwa na raia wa nchi jirani.
Mnasi alitoa rai hiyo wakati wa kufungua mafunzo ya siku mbili kwa washiriki 38 watakaohusika na uboreshaji...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJITOKEA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.Hayo yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi zilibeba mabango yenye ujumbe kuhamasisha wafanyakazi.Mpaka sasa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHADEMA yawataka Wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la mpiga kura

IMG_7601

Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa  chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika  hotel ya New Arusha jijini humo.

IMG_7568

Viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wakifanya sala kabla ya kuanza  mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini.

Picture 003

Naibu Katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari.

 MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo-Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa  chama chao kimejipanga...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJITOKEA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA‏



Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.Hayo yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi zilibeba mabango yenye ujumbe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani