John Bolton: Katika kitabu chake mshauri huyo wa zamani wa Trump anasema kwamba kiongozi huyo 'aliuliza iwapo Finland ni sehemu ya Urusi'?'
Urais wa Donald Trump tayari umeweka orodha ndefu ya vitabu, lakini kitabu cha hivi karibuni cha aliyekuwa mshauri wa usalama kitaifa , John Bolton kimevutia watu wengi, na hii ni kutokana na wadhifa aliokuwa nao mwandishi.
BBCSwahili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania