Juma Katundu wa Bendi ya Msondo Ngoma na Amina Said Nguriche 'Queen Emmy' wameremeta
Muimbaji mahiri wa Bendi ya Msondo Ngoma,Juma Katundu na Mai waifu wake Amina Said Nguriche 'Queen Emmy' wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta na kuwaka waka katika ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita Kimara mwisho,Jijini Dar es Salaam.
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania